na wapo hao waarabu wanaokaa uarabuni wamezariwa uarabuni wanaojua kiarabu na kukisoma kiarabu pia na hata kukiandikaNaomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu.sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa.
Je kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya kiarabu cha kawaida?
Je wapo wasomi wasio na dini hapa Tz ambao hawajui kuisoma Biblia ya Kiswahili?na wapo hao waarabu wanaokaa uarabuni wamezariwa uarabuni wanaojua kiarabu na kukisoma kiarabu pia na hata kukiandika
lakini hawawezi kusoma QURANI
JE UNAJUA HILO
Hujajibu hoja,hajazungumzia Dini, anataka kujua Kuna utofauti gani kati ya kiarabu na lugha iliyotumika katika Qur'an! Why can't you shut up?Nadhani Kuna sehem wafrika mind zetu zinatatizo tupo ongelea kuhusu Dini.
My take: Tuishi kwa kutenda wema.
unataka kusemaje...Hujajibu hoja,hajazungumzia Dini, anataka kujua Kuna utofauti gani kati ya kiarabu na lugha iliyotumika katika Qur'an! Why can't you shut up?
Na hichi kiswahili kinachotafsiriwa na google mbona misamiati kama haieleweki nani huwa wanafanya kazi hiiLugha ina siri nyingi, ni Tanzania tu ambapo magazeti hayatumii KiSwahili sanifu.
Gazeti la Taifa Leo la Kenya linaweza kutumiwa na mgeni anayejifunza lugha ya kiSwahili lakini magazeti pendwa ya Tanzania kiswahili chake ni cha "mtaa fulani mdogo'.
Lugha ya Kiarabu sanifu classical Arabic hufundishwa mashuleni na kutumiwa katika magazeti makubwa, riwaya na pia ndicho kinachotumiwa ktk kufundishia ktk madrasa.
Tatizo sisi waTanzania hatuheshimu lugha ya kiSwahili, huwezi kutofautisha nani ni mwanzuoni yaani msomi wakati watanzania wakioongea.
Lakini watu wa jamii nyingine wanaotumia lugha kama za Kiarabu au Kingereza ukisikia mtu anaongea unaweza kwa haraka kutambua kuwa mtu huyu ni msomi au kakulia katika mazingira ambayo watu wanauelewa mpana wa lugha ya Kiarabu classical au Kiingereza classical.
Media za Tanzania zinatakiwa kuwa mbele kwa kuchapisha magazeti kwa lugha sanifu haijalishi ukubwa au udogo wa gazeti, kituo cha radio au kituo cha televisheni.
Ndiyo maana hapa jamiiforums tunaona tunasahihisha kuhusu matumizi ya herufi mfano H katika maneno kama atakuja au hatakuja maneno haya mawili ya kiSwahili yana maana tofauti, lakini media zetu utakuta watangazaji au waandishi wa katika media kubwa hata kutamka au kuandika kwa usahihi tunashindwa.
Na hichi kiswahili kinachotafsiriwa na google mbona misamiati kama haieleweki nani huwa wanafanya kazi hii
Kiarabu kwa kukopa maneno hasa ya Inglishi, hakijawa haramu kweli? Hivi Qur'an inasemaje hapo?In recent years, the term Modern Standared Arabic (MSA) has come about. MSA is almost identical to the classical, formal Arabic of the Qur’an, with the exception of the addition of modern words and some differences in grammar constructions. MSA is the most common form of Arabic and is the variety taught in schools and colleges and is most commonly used in the workplace, in government and in the media.
Over the centuries of its existence, the Arabic language has adopted words from other languages including Hebrew, Aramaic, Persian, Greek, English and French. It has also influenced other languages as well including Turkish, Bengali, Hindi, Indonesian and Tagalog.