Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Ukiona BUKTA ujue dushe ni refu na haliwezi kulazwa kama nyoka kwenye boxer, huwa wengi ndio wanaanaya hivyo na wazee wa kiswahili wenye busha wao wanavaa kanzu, dushe linanlalia mapajani kwa raha zake, kama wamasai tu
 
Mawazo yako tu hayo funny enough sister wangu ndo alinikataza kuvaa boxer. Mwanaume anaejali reproductive health yake hawez kuvaa boxer za mpira tupu atleast ziko sikuiz ambazo haziban kidogo tunazitafuta pia.
Kumbuka maumbile yetu hayaruhusu nguo za ndani za kubana hizo vaeni nyie
 
Fashion za kulazimisha hizi na nafikiri tatizo ni bongo fleva inawalostisha mno. Mtu una akili timamu utavaaje bukta ndani ya suruali kama si ujinga ni nini?
 
Sikuhizi tunaanza kupangiana mavazi...


Kichwa BoX
HaaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€
Watu Wamevurugwa Sana, Lawama Ziende NEC

Naona Watu Hawajiulizi Viwanda Vikatengeneza Chupi Nyeusi, Yenye Rangi Ya Upinde Wa Mvua
Zote Zinapata Wavaaji HaaπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜„
Leo Wanashangaa Bukta
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuuh hatareeeeh San lol
 
Mzinzi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…