Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Atapewa msaada huko alipopeleka Mali zake..Mleta mada anasema mzazi ambaye ameshindwa kumrithisha mali hastaili msaada.
We uliona wapi? Au jlisikia wapi?
wazazi wawili wanaweza kulea watoto 8 ila watoto nane wakashindwa kuwalea wazazi wawili.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
Fanya kazi usisubiri utunzwe na mtotokaka acha jazba umeuliza lakini subiri, na kubali majibu::=ka majibu unayo usingeketa huu uzi...
Nakutakia mwaka mpya
Mungu unamjua rangi yake
Walikuomba uwazae??wazazi wawili wanaweza kulea watoto 8 ila watoto nane wakashindwa kuwalea wazazi wawili.
Fanya kazi acha kusubiri kulelewa na mtotoUna ushahidi gani kuwa alikutelekeza na hakuwekewa vizuizi?
Swali lako halina logic kwa sababu hakuna chance unapewa kumuuliza mtoto umzae au usimzae...Walikuomba uwazae??
Mna hasira za hovyo na wazazi wenu. Mzazi sio adui na halipwi kisasi kwa matendo yakeAtafute vya kwake kama ambavyo wanatuambiaga sisi..
Omba Mungu akuweke kwenye position ya kutoa msaadaHao watu ambao Mimi niwasaidie ni vilema au maana sijaja nao duniani nikurupuke tu kusaidia mtu ambae sio kilema na hata kilema ni kazi ya serikali kusaidia sababu tunatoa kodi
Wewe jibu swali mtoto alikuomba umzae au kiherehere chakoSwali lako halina logic kwa sababu hakuna change unapewa kumuuliza mtoto umzae au usimzae...
Huyo Mzazi alikua anapambana na anatumia nguvu na kipato chake chote kukuhudumia wewe kwa kukupa mahitaji yote, leo hii unamuona kama mzigo,Fanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sana
Siwezi kujibu swali ambalo halina logic. Vipi kwanini na wewe kama hukutaka akuzae hukugoma kuzaliwa?Wewe jibu swali mtoto alikuomba umzae au kiherehere chako
Hiyo ni lazima sababu sikumuomba anizaeHuyo Mzazi alikua anapambana na anatumia nguvu na kipato chake chote kukuhudumia wewe kwa kukupa mahitaji yote, leo hii unamuona kama mzigo,
Kuna mitoroto mipumbavu sana
Hujui machungu ya kutelekezwa wewe. Hujui wewe..Mna hasira za hovyo na wazazi wenu. Mzazi sio adui na halipwi kisasi kwa matendo yake
Uzuri hatufahamiani humu laiti ungejua usingeandika hata ushauri wa kutaka nifanye kazi kijanaFanya kazi acha kusubiri kulelewa na mtoto
Hakuna kusaidia mtu aliyekutelekeza..Omba Mungu akuweke kwenye position ya kutoa msaada
Asikuweke kwenye position ya kushitaki msaada
We saidia kama una uweZo, Mungu atakubariki zaidi