Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #101
Hata panya wanazaa tena watoto 12hivyo kuzaa sio kaziUngegoma Sasa kuzaliwa ..... Ficha ujinga wako mara moja moja....
Mliolelewa na single mazaz ndio shida yenu hiyo mnakosa "UBABA" ndani yenu ...mna 'UMAMA" mwingi... Na mnaamini kabisa kila mnachoambiwa na hao mama zenu ....kama ni mwanaume yatakukuta tu humuhumu....Hujui machungu ya kutelekezwa wewe. Hujui wewe..
Acha ujinga; ulijizaa mwenyewe. Kukuzaa Tu wazazi wamewekeza kwenye maisha yako hivyo mafanikio yako ni Yao pia; usiinue mabegaHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Sasa umekua Yesu umezaliwa na Bikira Maria au siyo!!??Mimi ni Mali ya Mungu pekee..
Fanya kazi wewe acha kutaka Ganda la ndizi wa watoto utaolewaMliolelewa na single mazaz ndio shida yenu hiyo mnakosa "UBABA" ndani yenu ...mna 'UMAMA" mwingi... Na mnaamini kabisa kila mnachoambiwa na hao mama zenu ....kama ni mwanaume yatakukuta tu humuhumu....
Vimbiana sana , ni wakati wako kijana vimba sanaNenda kamsaidie
Hata panya anazaa mjinga weweAcha ujinga; ulijizaa mwenyewe. Kukuzaa Tu wazazi wamewekeza kwenye maisha yako hivyo mafanikio yako ni Yao pia; usiinue mabega
asee! Ni changamotoVipi nilimuomba anilete duniani
Maandiko hayo yameandikwa na binadamu ambao ni wazazi wapenda Ganda la ndiziHata Maandiko huelekeza kuheshimu wazazi..
Waefeso 6:2
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Waefeso 6:3
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Si uache kumsaidia ..si sio lazima ...unahangaika na Nini kumsaidia acha..halafu uone aibu ni ya nani Kwa jamii... Acha....Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Kwa hiyo kumbe wwe ni panya!!??Bao hata panya anapiga na kuzaa watoto 12 hivyo hiyo sio kazi
Kitendo Chako tu Cha kuleta hii mada huku "CONSCIOUS" yako inakusuta haupo sawa ..unatafuta sympathy ..pole sana.Hahaha majitu yanaandika kirahisi tu unakuta mtoto umekulia shida basi katika kujitambua umejitafuta tena sehemu nyingine umepita za hatari halafu mzazi anataka kula pesa zako kibabe kama amezitafuta yeye
Shule zitafunguliwa mtapotea tu humu.... We Rudi Kwa mama wako aliyegongwa kifala akakuzaa bila malezi ya baba Sasa unateseka..unamlaumu baba bila kumlaumu mama aliyetanua nyapu...Fanya kazi acha kusubiri kulelewa na mtoto
Itoshe kusema wewe ni kubwa jingaShule zitafunguliwa mtapotea tu humu.... We Rudi Kwa mama wako aliyegongwa kifala akakuzaa bila malezi ya baba Sasa unateseka..unamlaumu baba bila kumlaumu mama aliyetanua nyapu...