Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Acha ujinga; ulijizaa mwenyewe. Kukuzaa Tu wazazi wamewekeza kwenye maisha yako hivyo mafanikio yako ni Yao pia; usiinue mabega
 
Mliolelewa na single mazaz ndio shida yenu hiyo mnakosa "UBABA" ndani yenu ...mna 'UMAMA" mwingi... Na mnaamini kabisa kila mnachoambiwa na hao mama zenu ....kama ni mwanaume yatakukuta tu humuhumu....
Fanya kazi wewe acha kutaka Ganda la ndizi wa watoto utaolewa
 
Hata Maandiko huelekeza kuheshimu wazazi..

Waefeso 6:2
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,

Waefeso 6:3
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
 
Hata Maandiko huelekeza kuheshimu wazazi..

Waefeso 6:2
Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,

Waefeso 6:3
Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
Maandiko hayo yameandikwa na binadamu ambao ni wazazi wapenda Ganda la ndizi
 
Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaa
Nikipata nimpee tena anapanga yeye kama kaomba laki ukimpa sabini maneno yanaanza na kutishia kunilaani.nyumba anaishi ni jasho langu.mm nko mkoani nimepanga nateseka na
Wemye nyumba
Si uache kumsaidia ..si sio lazima ...unahangaika na Nini kumsaidia acha..halafu uone aibu ni ya nani Kwa jamii... Acha....
 
Kitendo cha kuweka bandiko lako humu kulalamika juu ya mzazi wako inaonyesha kuna tatizo sehemu. Vinginevyo ungepiga kimya ukafanya vitendo tu.
 
kinachonikera wananogewa na msaada ukioa tu wanakuwa chanzo cha ugomvi na mke kwa kivuli cha ma mkwe.
 
Hahaha majitu yanaandika kirahisi tu unakuta mtoto umekulia shida basi katika kujitambua umejitafuta tena sehemu nyingine umepita za hatari halafu mzazi anataka kula pesa zako kibabe kama amezitafuta yeye
Kitendo Chako tu Cha kuleta hii mada huku "CONSCIOUS" yako inakusuta haupo sawa ..unatafuta sympathy ..pole sana.
 
Kuna baraka katika kusaidia/kuwatendea na kuwatakia/kuwaombea mema wengine hata wanaokuudhi.

Kama mzazi wako aliekuleta duniani tu unakuwa mchoyo kwake kwa kiasi hiki,je kwa watu baki itakuwaje??kumbe watu wenye Roho ya aina yako wapo duniani,kumbe sio hadithi tu ni halisi??

,kumbe kuna Watanzania wenye sifa tofauti na sifa za waTanzania tunazosifiwa nazo uko nje,UMOJA ,upendo na ukarimu hata kwa wageni,kama sisi kwa sisi tena sisi kwa familia zetu tutashindwa kuwa wakarimu na kuwajali watu walio (FAMILIA) watu wetu??je kwa wageni itakuwaje??
 

Attachments

  • Screenshot_20241231-194221~2.jpg
    Screenshot_20241231-194221~2.jpg
    43.5 KB · Views: 1
Shule zitafunguliwa mtapotea tu humu.... We Rudi Kwa mama wako aliyegongwa kifala akakuzaa bila malezi ya baba Sasa unateseka..unamlaumu baba bila kumlaumu mama aliyetanua nyapu...
Itoshe kusema wewe ni kubwa jinga
 
Back
Top Bottom