Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaahataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Tatizo hapo siyo mtoto ni wazazi ...
 
Kama kwao maisha mazuri kila kitu anapata na hajakuomba msaada wowote wala kuibia mtu muache aishi maisha yake.
Mbona wahindi nyumba moja baba mama babu bibi mkwe wote wanaishi nyumba moja na hakuna tatizo au kwasababu ni mbongo
 
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Alikuja kula chakula cha baba yako au cha baba yake?
 
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Umejaribu kumpa mtaji au kumuajiri mkuu?
Kama sivyo umbea wa nini mtoto wa kiume?
 
Mimi mwenyewe 25 naishi nyumbani , muda madogo wanakuja kuniamsha chumbani nacheza gemu na muda wa chai madogo wananniletea ndani Mimi kazi yangu kutafuta hela ya bando ya kuongeza siku na kupunguza stress

mwaka huu usiishe uwe umetoka hapo home bro.

Yaan hata kama mwanaume hauna kazi. Ilifika miaka 25. Danganya kwa wana wawil watatu kuwa kuna mishe unafuatilia kwahiyo inabid ukae maeneo ya karibu na sehem fulan (ambao wao wapo, kwahiyo unaomba msaada wa makaz kwa muda).

Sheria ni ile ile. Unatoka home na begi na miaka kadhaa mbele ukirud home uwe na mahela.

Sheria nyingne. Hakikisha home usiage. Ww toa taarifa niko sehem fulan niko salama kuna ABC nafuatilia. Ntawaambia lin narud home.
Siku wakijakusanuka kuwa umewakacha ww utakuwa ushafika mbali.
 
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Ulimuuliza huyo Baba yake wapi alipojenga Kiwanda chake na kumpa Mwanae huyo kazi ya kufanya hata ya usimamizi wa makontena tu yanayoingia na kutoka kwenye kampuni na akakwambia huyo kijana akaikataa hio kazi au wewe unazungumzia nini? Au umetunga story?
 
Sheria nyingne. Hakikisha home usiage. Ww toa taarifa niko sehem fulan niko salama kuna ABC nafuatilia. Ntawaambia lin narud home.
Siku wakijakusanuka kuwa umewakacha ww utakuwa ushafika mbali.
Utaua Wazee wako kwa hii mbinu kuna Wazee hawapendi kabisa hii mbinu. Kuna ile ya kuzima simu kisha unapoa mpaka wanaenda kwenye vituo vya polisi, msikitini, redioni, kanisani, magazetini, kwenye TV stesheni utatangazwa, nk kote huko picha yako inawekwa unatafutwa umepotea na kigezo kikubwa wanasema una matatizo ya akili kwa hio kichaa kakimbia kwao
 
Una uhakika hataki kazi,

Je? Umewahi kwenda kumpa deal la kazi akakataa?

Mzee mtaan sometime hapaeleweki,
Mtu hakupi kazi hata ukienda kumuomba, na ukibaki kitaa bado una simangwa!!

Mzee nenda kampe kazi, akatae halafu uje utupe mrejesho, sio kukomplain wakati hujui mtu anapitia stress kiasi gani?

Msione watu wanacheka tuu mtaani mkachukulia powa, kwamba wako fresh!

Tusaidiane nasio kusimangana
 
Utaua Wazee wako kwa hii mbinu kuna Wazee hawapendi kabisa hii mbinu. Kuna ile ya kuzima simu kisha unapoa mpaka wanaenda kwenye vituo vya polisi, msikitini, redioni, kanisani, magazetini, kwenye TV stesheni utatangazwa, nk kote huko picha yako inawekwa unatafutwa umepotea na kigezo kikubwa wanasema una matatizo ya akili kwa hio kichaa kakimbia kwao

😂😂😂😂.
unajua wazaz weng hawawez kukuambia sasa hiv umeshakuwa. Inabid uhame. Ila pia wao wanaona mtoto kukua kiakili na kujitegemea ni mpaka pale anapokuwa (mtoto) tayar. Kwahiyo hakuna muda sahihi

Ukifika miaka 19 kama unahisi unaweza kuhama home. Na kujitegemea. Bas na wazaz pamoja na kuwa na wasiwawi ila watakuamini.
 
Yah inawezekana tena na mzazi anajivunia hilo...

Mfn familia yetu tumezaliwa 10,mama ana miaka 91 na mdogo wetu wa mwisho yupo home anamiaka 32 na anakula ugali wa shkamoo,lengo ni kumuangalia kwa ukaribu mama...

Kwaiyo si kila anaekaa nyumban amebweteka lazma kuna sababu nyuma yake..
 
Back
Top Bottom