secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Watanzania wanajadi ya kuingilia mambo yasiyowahusu.Kama baba yake hamfukuzi hapo nyumbani kwake kwa nini wewe unalalamika au kuumia??
Watanzania wanajadi ya kuingilia mambo yasiyowahusu.Kama baba yake hamfukuzi hapo nyumbani kwake kwa nini wewe unalalamika au kuumia??
Stress zipi sasa mkuu kama hadi chai unaletewa ndani?Mimi mwenyewe 25 naishi nyumbani , muda madogo wanakuja kuniamsha chumbani nacheza gemu na muda wa chai madogo wananniletea ndani Mimi kazi yangu kutafuta hela ya bando ya kuongeza siku na kupunguza stress
Sijakaa kinyonge ndio nimemaliza chuo mwaka huu , Kuna mchongo nimeshaomba nipo mtaani kusubiri simu ya mabosi kama nimekubaliwa nibebe mabegi yangu mpaka Julius Nyerere International Airport safari mambele.mwaka huu usiishe uwe umetoka hapo home bro.
Yaan hata kama mwanaume hauna kazi. Ilifika miaka 25. Danganya kwa wana wawil watatu kuwa kuna mishe unafuatilia kwahiyo inabid ukae maeneo ya karibu na sehem fulan (ambao wao wapo, kwahiyo unaomba msaada wa makaz kwa muda).
Sheria ni ile ile. Unatoka home na begi na miaka kadhaa mbele ukirud home uwe na mahela.
Sheria nyingne. Hakikisha home usiage. Ww toa taarifa niko sehem fulan niko salama kuna ABC nafuatilia. Ntawaambia lin narud home.
Siku wakijakusanuka kuwa umewakacha ww utakuwa ushafika mbali.
Baba ake amuunge mkono kwenye kazi yake ya kubeti.Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Nipo mtaani nazuga tu wiki nimeondoka maana jau kugombania rimoti ya Tv na madogo nipo kitaa kingene magetoni na Wadau
Pamoja na homa za uzeeni lakin tunajitahidi na tunamuomba mungu walau afikishe hata 100Hapa hamna namna. Hongereni kwa Maza kugonga 91!!! What a blessing
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Majungu sio mtaji wahenga walishasema.Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Wewe kama kijana mwenzake umejaribu kuongea nae hata kumshauriHapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee