Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

Yah inawezekana tena na mzazi anajivunia hilo...

Mfn familia yetu tumezaliwa 10,mama ana miaka 91 na mdogo wetu wa mwisho yupo home anamiaka 32 na anakula ugali wa shkamoo,lengo ni kumuangalia kwa ukaribu mama...

Kwaiyo si kila anaekaa nyumban amebweteka lazma kuna sababu nyuma yake..
Maana ake uyo dogo mnamtumia sio
 
Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi inawezekanaje hii kitu wazee
Kama unamfahamu na unakaa naye mtaa mmoja umeshindwa nini kumkaribia kumuuliza pengine hata kumsaidia Kwa namna Moja au nyingine.

Maana watu wanatembea wakiwa na mzigo mzito au kufumbwa hawajui pakutokea wanahitaji msaada Toka nje kuwanasua kusonga mbele.

Sasa yakibakia humu ulimoyaleta inamsaidia nini yeye zaidi ya kuwa mchapo tu. Na huyo Mzee alimuandaje mwanaye katika makuzi yake kujitegemea au anaishia kumsema.
 
Utaua Wazee wako kwa hii mbinu kuna Wazee hawapendi kabisa hii mbinu. Kuna ile ya kuzima simu kisha unapoa mpaka wanaenda kwenye vituo vya polisi, msikitini, redioni, kanisani, magazetini, kwenye TV stesheni utatangazwa, nk kote huko picha yako inawekwa unatafutwa umepotea na kigezo kikubwa wanasema una matatizo ya akili kwa hio kichaa kakimbia kwao
Ana shida ya matatizo ya akili...huwa anaondoka bila kuaga
Mwisho watu wanakufunga kamba na utimamu wako unarudishwa
 
Yah inawezekana tena na mzazi anajivunia hilo...

Mfn familia yetu tumezaliwa 10,mama ana miaka 91 na mdogo wetu wa mwisho yupo home anamiaka 32 na anakula ugali wa shkamoo,lengo ni kumuangalia kwa ukaribu mama...

Kwaiyo si kila anaekaa nyumban amebweteka lazma kuna sababu nyuma yake..
Mama yenu alimzaa mdogo wenu akiwa na miaka 60?
 
Back
Top Bottom