denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Live your life man. Hii dunia kila mtu aishi kimpango wake, masharti ya kujitakia ni kujitafutia stress za bure tu.Mimi mwenyewe 25 naishi nyumbani , muda madogo wanakuja kuniamsha chumbani nacheza gemu na muda wa chai madogo wananniletea ndani Mimi kazi yangu kutafuta hela ya bando ya kuongeza siku na kupunguza stress