Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,055
Wamesema kweli wahenga

Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu

Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya

Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila shaka tutawahadithia wajukuu na vizazi vijavyo

Wale waponda mali na waliojinasibu kwamba wanakula ujana wanapata funzo kwamba starehe ziwe na mipaka ikumbuke kesho yako na akiba haiozi

Na nadhani corona imetusaidia pia kufanya meditation, kuifikiria na kuiona dunia katika uhalisia wake na asiye jifunza ajifunze kwamba sisi binaadamu si chochote ni dhaifu kirusi kidogo kinatuendesha mbio

Japokuwa wanasema sayansi ilipoishia ndo uchawi unaanzia lakini kwa corona naona imejua kuwanyoosha watu, zile kelele za usiku za mapaka pia zimepungua sana siku hizi,hivi walozi wakimgusa mtu mwenye corona wanapata maambukizi???
 
Write your reply...sasa mganga mwenyewe ukienda kwake pale mlangoni kwake kuna sanitizer na ndoo ya maji juzi nilienda ili nipewe Pete ya forex niliona

we mwanga ni nani usiogope
dont break my ribs 🙂 🙂 🙂
 
Mkuu uchawi upo bhana hayajakupata bado wew masaibu ya dunia, dunia ina mambo hii waulize yaliowakuta unakujua gambosh wewe????

ila endelea na imani yako
ukiamini sana ulozi utapotea
Usipotoshe watu, Gamboshi ni kijiji cha kawaida kama vilivyo vijiji vingine.
 
Hali imekuwa tete hadi mrengo wa kushoto huko, sahivi wachawi hawalishi nyama wanalisha matembele usiku.
aisee kweli mambo yamebadilka 😀
na wale waganga tusishangae wakianza kutuagizishia tuwaletee ngombe kuku atakuwa hatosh tena
 
Usipotoshe watu, Gamboshi ni kijiji cha kawaida kama vilivyo vijiji vingine.
sawa mkuu kwa taarifa

ila nakumbuka Radio free miaka ya nyuma yupo dogo alisimulia stori ya kufikirisha sana kuhusu hicho kijiji
labda yeye ndo alitudanganya lakin yeye alisema ni stori ya kweli ilimtokea
 
Wamesema kweli wahenga

Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu

Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya

Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila shaka tutawahadithia wajukuu na vizazi vijavyo

Wale waponda mali na waliojinasibu kwamba wanakula ujana wanapata funzo kwamba starehe ziwe na mipaka ikumbuke kesho yako na akiba haiozi

Na nadhani corona imetusaidia pia kufanya meditation, kuifikiria na kuiona dunia katika uhalisia wake na asiye jifunza ajifunze kwamba sisi binaadamu si chochote ni dhaifu kirusi kidogo kinatuendesha mbio

Japokuwa wanasema sayansi ilipoishia ndo uchawi unaanzia lakini kwa corona naona imejua kuwanyoosha watu, zile kelele za usiku za mapaka pia zimepungua sana siku hizi,hivi walozi wakimgusa mtu mwenye corona wanapata maambukizi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawadhuriki kwakuwa hawamgusi na mikono ya kawaida.. Wachawi mambo yetu hufanya kinyume ndio maana hata ndani ya nyuma huingilia kwenye pembe kinyume nyume halafu uchi

Jr[emoji769]
 
sawa mkuu kwa taarifa

ila nakumbuka Radio free miaka ya nyuma yupo dogo alisimulia stori ya kufikirisha sana kuhusu hicho kijiji
labda yeye ndo alitudanganya lakin yeye alisema ni stori ya kweli ilimtokea
Hizo stori zipo miaka nenda rudi, ukweli ni kuwa Gamboshi ni kijiji cha kawaida.

Acha kusambaza stori za uongo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawadhuriki kwakuwa hawamgusi na mikono ya kawaida.. Wachawi mambo yetu hufanya kinyume ndio maana hata ndani ya nyuma huingilia kwenye pembe kinyume nyume halafu uchi

Jr[emoji769]
sasa mshana ndugu yangu na yale majembe tukiyashika wakati wa kulima na wao wakaja kuyashika si wanaweza wakaambukizwa?
 
Back
Top Bottom