Nikuoongeze tu kwa kusoma na kutafakari biblia. Kuna watu wanatudanganya kila siku kuwa kuna jehanamu. Watupe jibu hapa.Za jioni jamani,
Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Tuwasubiri Kama watakuja.Nikuoongeze tu kwa kusoma na kutafakari biblia. Kuna watu wanatudanganya kila siku kuwa kuna jehanamu. Watupe jibu hapa.
Mara nyingi swali likiwagonga huishia kusema wewe ni wa shetani badala ya majibu ya kisayansi au kibiblia.
Duniani mkuu, huko mbinguni sijafika bado so sijui.Duh!Yerusalemu ya hapa hapa duniani au Ile ya Mbinguni?
Leta andikoiliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..
unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Ndio mnadanganyana huko madrassa?iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..
unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Wazungu wa mchongo sio wale mabepari na makabaila wenyewe.Ina maana wakoloni wanatuchezea akili zetu?mbona hata wazungu wenzao wanaamini Jehanamu ipo?
Alichokiandika ukitafakari kinaleta tija!Ndio mnadanganyana huko madrassa?
Let me save thisHicho ndio wanachotaka, kututia hofu tuogope. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.
Hofu ni imani. Imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza. Kama mama/baba yako aliyekuzaa hawezi kukuchoma moto mpaka ukateketea je Mungu mwenye upendo aliyekuumba unadhani anafurahia kukuchoma moto for eternity huuh?? Si kweli, hakuna kitu kama hicho, Mungu wetu ni wa upendo. Hayo Maneno yamewekwa na watu tu ili kutujazia hofu.
Wamemfanya tumuone Mungu kwamba ni katili asiye na upendo wala huruma.
Vipi Una Kanisa Sehemu? Naona Vifungu Vya Biblia Unavijua.Mathayo 7:7-8 inasema hivi"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa.Kwa maana kila ombaye hupokea,naye atafutaye huona,naye abishaye atafunguliwa
Ulikuwa na ombi gani kwani Labani?
ππππDahVipi Una Kanisa Sehemu? Naona Vifungu Vya Biblia Unavijua.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app