Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Nikuoongeze tu kwa kusoma na kutafakari biblia. Kuna watu wanatudanganya kila siku kuwa kuna jehanamu. Watupe jibu hapa.Za jioni jamani,
Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Mara nyingi swali likiwagonga huishia kusema wewe ni wa shetani badala ya majibu ya kisayansi au kibiblia.