Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

Za jioni jamani,

Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Nikuoongeze tu kwa kusoma na kutafakari biblia. Kuna watu wanatudanganya kila siku kuwa kuna jehanamu. Watupe jibu hapa.

Mara nyingi swali likiwagonga huishia kusema wewe ni wa shetani badala ya majibu ya kisayansi au kibiblia.
 
Tuwasubiri Kama watakuja.
 
Ilikua sehemu ya kutupia takataka na kuchomwa Huko Yerusalemu enzi hizo.

Thus why hata Yesu alitumia mfano huo Mara kadhaa.
 
Ilikua sehemu ya kutupia takataka na kuchomwa Huko Yerusalemu enzi hizo.

Thus why hata Yesu alitumia mfano huo Mara kadhaa.
Duh!Yerusalemu ya hapa hapa duniani au Ile ya Mbinguni?
 
iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..

unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Leta andiko
 
MUNGU aliumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, Jehanamu, huwezi kuiona kwa macho haya ya nyama.Aidha MUNGU aliumba vitu vingi sana vingi havijatajwa, vilivyo tajwa vina wakilisha vile ambavyo havijatajwa.Hata hivyo Jehanamu imekuja baadaye baada ya uasi wa Ibilisi, Sidhani km MUNGU angeumba Jehanamu mapema hivyo ili hali Dunia ilikuwa ktk njema sana , rejea Mwanzo 1:31.

Mwanzo 1:31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
 
iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..

unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Ndio mnadanganyana huko madrassa?
 
Jehanam kwenye Uyahudi wa kale ilikuwa ni dampo la kuchomea taka sasa sijui nani akaibatiza sehemu ya kuchomea watu
 
Ndio mnadanganyana huko madrassa?
Alichokiandika ukitafakari kinaleta tija!

Moto umekolezwa ukawa wa njano
-Ukiangalia ndiyo moto tunaopikia au ndiyo hatua ya awali binadamu aliipitia alipogundua moto.

Moto ukakolezwa ukawa mweupe
-Ukiangalia moto unaoyeyusha vyuma rangi yake au muonekano wake ni mweupe mweupe.

Moto ukakolezwa ukawa mweusi
-Hii hatua ukiaangalia bado binadamu hatujaifikia.

Hivyo hatua za ukuaji wa moto au ukolezaji aliyoutaja ukitafakari kuna tija inaonekana.
 
Hicho ndio wanachotaka, kututia hofu tuogope. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.

Hofu ni imani. Imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza. Kama mama/baba yako aliyekuzaa hawezi kukuchoma moto mpaka ukateketea je Mungu mwenye upendo aliyekuumba unadhani anafurahia kukuchoma moto for eternity huuh?? Si kweli, hakuna kitu kama hicho, Mungu wetu ni wa upendo. Hayo Maneno yamewekwa na watu tu ili kutujazia hofu.

Wamemfanya tumuone Mungu kwamba ni katili asiye na upendo wala huruma.
Let me save this
 
Mathayo 7:7-8 inasema hivi"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa.Kwa maana kila ombaye hupokea,naye atafutaye huona,naye abishaye atafunguliwa
Ulikuwa na ombi gani kwani Labani?
Vipi Una Kanisa Sehemu? Naona Vifungu Vya Biblia Unavijua.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nawakubali sana mashahidi wa Yehova, dunia haitaangamizwa bali Mungu ndiye atakayemuhukumu shetani peke yake
 
Back
Top Bottom