ujinga ni wewe mwenyewe uwezi kutoa code ili ujipange na ujinga wako kuonekana sio mjingaMkakati Gani acheni kutuandikia ujinga hapa tanzania hamna jeshi Kuna wafuga vitambi tu huu ujinga waandikie wajinga yaani mwanajeshi wa tanzania awe na huruma na wewe mwananchi hilo sahau huu ujinga kuamini jeshi la ccm ndio umefanya watu kufa wengi
Hamna kitu hapo wewe usisikilize hiyo mijitu Kaa ukijua tanzania hakuna jeshi usijifariji na mambo ambayo hayapoTuchane tu mkuu tujue,maana kiukweli wengine tumeikatia tamaa nchi yetu sana
Unaeza weka hapa tujionee ile sauti ya kimamlaka!Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Ni kweli Mimi ni mjinga ila wewe ni lijinga zaidi yangu unaeamini kwamba hili jeshi la ccm linamkakati wa kuitoa ccm Ili mwananchi aifilisi ccm Mali ilizoiba utalambwa risasi ya kichwa na hakuna kitu watafanya zaidi wao kuendelea kuteuana na huu ujinga ndio ulifanya wengi wakafa wakaliamini jeshi ikifika usiku jeshi Hilo Hilo linawauaujinga ni wewe mwenyewe uwezi kutoa code ili ujipange na ujinga wako kuonekana sio mjinga
Video ipo Kwa pastor kabigumila InstagramUnaeza weka hapa tujionee ile sauti ya kimamlaka!
Ulivyoandika kama unalijua sana Jeshi, kumbe hamna kitu.Ndio ujue hapo hamna jeshi Kuna makondoo yaani watu mnakubali vipi kufungiwa na mtu mmoja hii akili gani🤣🤣🤣🤣🤣
Endelea kuamini jeshi litaipindua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kuwalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣Ulivyoandika kama unalijua sana Jeshi, kumbe hamna kitu.
angalia uke wa mama yako alafu sema wewe ni mjingaNi kweli Mimi ni mjinga ila wewe ni lijinga zaidi yangu unaeamini kwamba hili jeshi la ccm linamkakati wa kuitoa ccm Ili mwananchi aifilisi ccm Mali ilizoiba utalambwa risasi ya kichwa na hakuna kitu watafanya zaidi wao kuendelea kuteuana na huu ujinga ndio ulifanya wengi wakafa wakaliamini jeshi ikifika usiku jeshi Hilo Hilo linawaua
Boya tu huyo hana taarifa yoyoteTuchane tu mkuu tujue,maana kiukweli wengine tumeikatia tamaa nchi yetu sana
Sawa endelea kuniita mjinga we mwenye akili tumeona jeshi limeshachukua nchi baada ya mauaji kikatili ya watu elfu 10 🤣🤣🤣🤣🤣angalia uke wa mama yako alafu sema wewe ni mjinga
Unasubiri Jeshi lipindue unadhani ni West Africa hapa, hilo msahau.Endelea kuamini jeshi litaipibdua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kywalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu naungana na wewe, Hawa wapuuzi wanataka kuaminisha watu ujinga Kwa awamu nyingine, hakuna jeshi la kusimama na wananchi hapo!Endelea kuamini jeshi litaipibdua ccm maana kichwani kwako hazipo yaani ccm waunde jeshi lao la kywalinda na wizi wao halafu lije liwapindue Ili kumfurahisha mwananchi sahau ndio maana siku sita watu wamewindwa kama wanyama na kuuwawa jeshi kama halioni kilichotokea na bado watu kama nyie wajinga mnaliona jeshi ni lenu wananchi hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kumbe ulichokua unanikosoa nininiUnasubiri Jeshi lipindue unadhani ni West Africa hapa, hilo msahau.
Wewe subiri utakuja kuona oneday kama ni mikwara au jamaa ana maanisha.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Jeshi haliendeshwi unavyotaka wewe, ndiyo maana wakitaka kufanya mambo yao hawawasiliani na wewe. Ni vyema ukajua Jeshi siyo Chama cha Siasa kwamba linaongozwa kwa Demokrasia. Jeshi liko kwaajili ya mustakbali na manufaa ya Wananchi wengi na siyo kikundi cha watu wachache wenye ajenda zao za Siri.Sasa kumbe ulichokua unanikosoa ninini
Majinga sana watu wamekufa zaidi ya elfu 10 Kwa ujinga wa wanajeshi kuwa mioga halafu bado Kuna lijinga linasema eti Kuna mpango unasukwa hahahaha 🤣🤣🤣Mkuu naungana na wewe, Hawa wapuuzi wanataka kuaminisha watu ujinga Kwa awamu nyingine, hakuna jeshi la kusimama na wananchi hapo!
We mjinga jeshi la tanzania ni Mali ya ccm kama unabisha endelea kubisha Sina mda was kubishana na wajingaJeshi haliendeshwi unavyotaka wewe, ndiyo wakitaka kufanya mambo yao hawawasiliani na wewe. Ni vyema ukajua Jeshi siyo Chama cha Siasa kwamba linaongozwa kwa Demokrasia. Jeshi liko kwaajili ya mustakbali ya manufaa ya Wananchi wengi na siyo kikundi cha watu wachache wenye ajenda zao za Siri.
Trauma trauma trauma polepole walishamuua siku nyingi sana. Sio kwamba ni mazuri lakini inauma sana.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo tanzania na tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekua mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.Toka siku ya tukio nasikia bakabaka wooote wamefungiwa makambini?