Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua wato ovyo ovyo.
Yaani mwanajeshi mzalendo ufungiwe ndani kama kuku ukubali hii Kali kwahiyo wanajeshi wapo geti Kali kama broila basi hamna jeshi hapo ni mradi wa ccm kama yamekubali kufungiwa Ili wananchi wauwawe sitoshangaa hata wakiyaua na yenyewe huko kambini🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Atakua mwanajeshi ndio,maana video iliyopita aliongea akiwa na uniform na anasema ndio alikuwa ametoka job muda huo.

Mtu anajiamini sana yule,mtu anaongea na CDF kama kijana fulani tu,hawa Kina Mafwele na Muliro ndio anawaita machawa wawili
 
Ngoja tuone hiyo mikwara yake maana amesema tarehe 9 wataanzia masaki mpaka mikocheni
 
Hamna kitu hapo
 
Hilo ndo sisi watanzania tunataka litokee tupambane kesho ya vizazi vyetu ije iishi kwa raha na furaha
 
Amenifurahisha sehemu moja, amesema tarehe 09.12.2025 tutakuwa naye barabarani.Tunaomba aje na BUNDUKI 10 zenye risasi
 
Atakua mwanajeshi ndio,maana video iliyopita aliongea akiwa na uniform na anasema ndio alikuwa ametoka job muda huo.

Mtu anajiamini sana yule,mtu anaongea na CDF kama kijana fulani tu,hawa Kina Mafwele na Muliro ndio anawaita machawa wawili
Huo mkwara tu halafu jamaa anaonekana mlevi🀣🀣
 
Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Kambi zote walipewa ORDER waende kambini, si unajua mambo ya order jeshini!
 
Yaani mwanajeshi mzalendo ufungiwe ndani kama kuku ukubali hii Kali kwahiyo wanajeshi wapo geti Kali kama broila basi hamna jeshi hapo ni mradi wa ccm🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Inasikitisha sana JW kufungiwa ndani maana walivyokuwa nje walikuwa hawakubali kushuhudia raia wakila vyuma hovyo hovyo ,magaidi wa Abdul wamekula vyuma sana ndiyo maana BIBI CHURA na CHOKOSTIKI Abdul wakatoa order wawekwe LOCKDOWN ,kwahiyo waliokuwa nje ni wale ambao order imetoka kwa BIBI CHURA kupitia CDF MKUNDV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…