Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
SahihiElimu ni elimu tu huwezi kuifananisha na vitu vingine,kila kitu kinaanza na elimu,
Elimu sio tu ile unayo fundishwa darasani,
SahihiElimu ni elimu tu huwezi kuifananisha na vitu vingine,kila kitu kinaanza na elimu,
Elimu sio tu ile unayo fundishwa darasani,
Jibu ni mfabiashara ndugu wala mtu asikudanganye.
1. Ukiwa mfanya biashara ndio unaweza kuwa tajiri
2. Unaweza kuwa maarufu
3. Unaweza kuajiri watu wakufanyie kazi huku wewe umekaa nyumbani
Wewe mwenyewe unajionea mtaani jinsi wafanya biashara wanavyo ishi maisha ya uhuru huku wafanyakazi wakiwa busy muda wote na utumwa.
Asikudanganye mtu msomi mfanyakazi ni mtumwa aliye changfanyabishara tuko busy
Mbona nchi hii ni maskini sana wakati asilimia kubwa ya watu wamejiajiri/wafanyabishara?Jibu ni mfabiashara ndugu wala mtu asikudanganye.
1. Ukiwa mfanya biashara ndio unaweza kuwa tajiri
2. Unaweza kuwa maarufu
3. Unaweza kuajiri watu wakufanyie kazi huku wewe umekaa nyumbani
Wewe mwenyewe unajionea mtaani jinsi wafanya biashara wanavyo ishi maisha ya uhuru huku wafanyakazi wakiwa busy muda wote na utumwa.
Asikudanganye mtu msomi mfanyakazi ni mtumwa aliye changamka.
Kwani kwenye biashara hakuna Wasomi ?
Ungesema kati ya waajiriwa na wafanyabiasha.
Nimesoma kiasi, nina ajira lakini wanaoniamulia namna ya kufanya kazi yangu ni madiwani STD 3. That's bull shit
umeambiwa mfanyabiashara wewe unaleta habari winga,winga ni vibaka wale.
Binafsi naona Elimu ndio kila kitu; Mtu akiwa na Elimu anaweza kufanya kazi ya taaluma yake lakini pia anaweza kufanya biashara tena hata za kimataifa. Kwa hiyo kuwa na Elimu ina kupa wigo mpana wa kufanya kazi mbalimbali na hata kilimo ufugaji nk.Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Shida wengi wenu mnadhani maisha ni kuwa na pesa tu. Hapo ndipo tatizo linapoanza. Wengine wanataka pesa kidogo, halafu WAISHI MAISHA WANAYOPENDA.Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Hata wafanyabiashara ni waajiriwa wa wateja wao.Kwani kwenye biashara hakuna Wasomi ?
Ungesema kati ya waajiriwa na wafanyabiasha.
Mleta thread amechanganya kitu kimoja alitakiwa kusema kuajiriwa na biashara kipi muhimu/bora.Binafsi naona Elimu ndio kila kitu; Mtu akiwa na Elimu anaweza kufanya kazi ya taaluma yake lakini pia anaweza kufanya biashara tena hata za kimataifa. Kwa hiyo kuwa na Elimu ina kupa wigo mpana wa kufanya kazi mbalimbali na hata kilimo ufugaji nk.
Biashara ni nzuri sana ILA una baki na kitu kimoja, ikukushinda unakuwa huna mbadala....
Kama fursa ya kusoma ipo; anza na Elimu...mengine yatakuja/yatawezekana...
Pamoja ya kuwa nimelewa pombe,unakijua vizuri kipato cha mil 200 kwa mwaka ? Waajiriwa wangapi wanapata hiyo mil 200 kwa mwaka?Waajiriwa (wasomi) ndio roho ya nchi. Muajiriwa mwenye kipato cha mil 200 kwa Mwaka analipa kodi kubwa sana kuliko mfanya biashara anaeingiza mil 200 kwa mwaka. Sababu ndio iko hapo nani ni rahisi kuchomoka.
okHivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Kwa hiyo Afrika ni bara-moto?Ukisha zaliwa Africa tu Tayari una laana unaweza kuwa mfanyabiashara na usitoboe unaweza kuwa msomi na usitoboe pia
Africa ni nuksi
Huo ni mfano ndugu .Point ni kwamba muajiriwa mwenye kipato sawa na mfanyabishara iwe ni mil 5, mil 10 wanatofautiana pakubwa kwenye kulipa kodi.Pamoja ya kuwa nimelewa pombe,unakijua vizuri kipato cha mil 200 kwa mwaka ? Waajiriwa wangapi wanapata hiyo mil 200 kwa mwaka?
Mbunge mwenyewe mwenye posho+mshahara kwa mwaka hawezi kufikisha hiyo mil 200.
Mimi ni muajiriwa wa serikali kuu ila hakuna muajiriwa wa tamisemi au central gov anafikisha hiyo mil 200 kwa mwaka
Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Hata wafanyabiashara wengi wamesoma pia. Na kuna waajiriwa wengi tu wana elimu ndogo isiyoweza wao kuitwa wasomi. Kimsingi swali lako lina kasoro nyingi na ni la hovyo.Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Advantage ya nini?Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??