Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Kasome maana ya biashara. Kama unacho maanisha nisahihi watu wenye uwezo wa kuingia huko ni watanzania wachache sana. Chini ya laki 2. Kutokana na Takwimu za TRA ni watanzania chini ya milion mbili wanaolipa kodi na wengi kati yao niwafanyakazi . Ndiposa nimesema wafanya biashara wanaopata kipato cha maana ni wachache sana. Hivyo hivyo kwa wafanya kazi. Zaidi ya 90% ya watanzania wapo katika kundi la ugumu wa maisha au tuseme kipato chao ni chini ya 400,000 kwa mweziMtoa mada anazungumzia biashara sio uchuuzi