Hata wafanyabiashara wengi wamesoma pia. Na kuna waajiriwa wengi tu wana elimu ndogo isiyoweza wao kuitwa wasomi. Kimsingi swali lako lina kasoro nyingi na ni la hovyo.
Uko sahihi mkuu. Hiyo 5m kama net profit kwa mwezi lazima uwe na mauzo (turnover) yasiyopungua 25m kwa mwezi. Kwa mfano mtu anayeuza suruali za 20k lazima awe anauza suruali 40+ kila siku. Yaani zaidi ya 800,000 kwa siku. Yaani sio poa.Inategemea wote wapo level ipi asilimia kubwa ya wafanya biashara hawajafanikiwa na kipato chao ni chini ya 500,000 hivyo hivyo kwa wasomi wengi hawajafanikiwa na mishahara yao wengi ni chini ya milion. Ni wafanya biashara wachache sana wenye kipatato cha milion 5 kwa mwezi na ni wafanyakazi wachache sana wenye mshahara wa milion 3 kwenda juu
Lakin kwa hiv vitu viwili lazima tuwe na common set of assesment and evaluation.Kati ya biashara 100 zinazofunguliwa kila mwaka, only 10% survive after 5yrs. Hskuna kirahisi hapa duniani...
Kuna biashara mm naifaham mkuu, ina faida kubwa kuliko mtaji kwa mwezi. Yan faida unayoipata mwezi inazid mtaji wote uliowekaUko sahihi mkuu. Hiyo 5m kama net profit kwa mwezi lazima uwe na mauzo (turnover) yasiyopungua 25m kwa mwezi. Kwa mfano mtu anayeuza suruali za 20k lazima awe anauza suruali 40+ kila siku. Yaani zaidi ya 800,000 kwa siku. Yaani sio poa.
Wafanyabiashara now wanatambiana na jetour wasomi wanatambiana na mikopo ya IST. Kidin...Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Ni bara joto +Kwa hiyo Afrika ni bara-moto?
Nakubaliana nawe kuwa chache zipo. Biashara nyingi ambazo watu wanaogopa kuzifanya huwa zina pesa ndefu. Kwa mfano biashara zinazohitaji kuwa na vibali vingi huku polisi na mamlaka zingine zikifuatilia kwa karibu huwa zina faida kubwa sana.Kuna biashara mm naifaham mkuu, ina faida kubwa kuliko mtaji kwa mwezi. Yan faida unayoipata mwezi inazid mtaji wote ulioweka
Mfanyabiashara!Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Msomi ana maisha na furaha, pia anajiamini kuliko hawa mawinga wa nguo za mchina wanaweza Kupiga elfu kumi kumi za Mchongo kariakoo
Sahihi kabisaMafanikio ni wewe na akili yako,mipango yako na nidhamu yako,haijalishi uko wapi,
Ndio maana hata nchi tajiri wapo masikini pia,na kwenye nchi masikini wapo matajiri pia,
Elimu ni elimu tu huwezi kuifananisha na vitu vingine,kila kitu kinaanza na elimu,
Elimu sio tu ile unayo fundishwa darasani,
Ukiwa mfanyabiashara mkubwa ni lazima utawahitaji/utaajiri wenye elimu ili wakusaidie,utahitaji vifaa vya kufanyia kazi,kama vile computer,Internet,meza,viti,kabati,usafiri,vitu ambavyo tunavyo leo hii kutokana na matokeo ya elimu,hata jengo la ofisi yako limejengwa na wataalamu wenye elimu,
Mleta mada ungeuliza kati ya muajiriwa na mfanya biashara na sio kati ya msomi na mfanyabiashara,Elimu sio lazima iwe ile uliyoipata darasani.
Kuna biashara mm naifaham mkuu, ina faida kubwa kuliko mtaji kwa mwezi. Yan faida unayoipata mwezi inazid mtaji wote ulioweka
Mwenye advantage ni yule anayeingiza pesa nyingi
Cases scenarios
1.wapo waaajiriwa wanaingiza pesa nyingi kuliko WANAOFANYA biashara,eg,.
2.kuna waajiriwa wanafanya pia biashara na wameajiri wenzako
3.kuna wafanyabiashara wakubwa wamewaajiri wasomi
4.kuna wafanyabiashara wanajiona wakubwa na kuwadharau waajiriwa,lakini mtaji wao akiumwa mwezi tu unakata na hio baishara hadi ye awepo ndio apate pesa
5.kuna waajiriwa wanawadharau wafanyabiashara sababu wao hata wasiende kazini wanalipwa
LENGO SIO KUSHINDANA,LENGO NI KUONA WEWE UNAFAA UWE WAPI
Inategemea wote wapo level ipi asilimia kubwa ya wafanya biashara hawajafanikiwa na kipato chao ni chini ya 500,000 hivyo hivyo kwa wasomi wengi hawajafanikiwa na mishahara yao wengi ni chini ya milion. Ni wafanya biashara wachache sana wenye kipatato cha milion 5 kwa mwezi na ni wafanyakazi wachache sana wenye mshahara wa milion 3 kwenda juu
Uchuuzi kwa maaana ya kununua kitu kuweks bei na faida juu auTatizo hawa jamaa wanazungumzia uchuuzi badala ya Biashara
Anza kwa kufanya utafiti, mfanya kazi na mfanya biashara ni nani mwenye pesa? Kamfano kadogo, muuza chips (sehemu inayolipa) na mwalimu ni nani mwenye pesa?Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Swali la kijingaHivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??