Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

Inategemea wote wapo level ipi asilimia kubwa ya wafanya biashara hawajafanikiwa na kipato chao ni chini ya 500,000 hivyo hivyo kwa wasomi wengi hawajafanikiwa na mishahara yao wengi ni chini ya milion. Ni wafanya biashara wachache sana wenye kipatato cha milion 5 kwa mwezi na ni wafanyakazi wachache sana wenye mshahara wa milion 3 kwenda juu
 
Uko sahihi mkuu. Hiyo 5m kama net profit kwa mwezi lazima uwe na mauzo (turnover) yasiyopungua 25m kwa mwezi. Kwa mfano mtu anayeuza suruali za 20k lazima awe anauza suruali 40+ kila siku. Yaani zaidi ya 800,000 kwa siku. Yaani sio poa.
 
Kati ya biashara 100 zinazofunguliwa kila mwaka, only 10% survive after 5yrs. Hskuna kirahisi hapa duniani...
Lakin kwa hiv vitu viwili lazima tuwe na common set of assesment and evaluation.

1. Efficience
2. Effectiveness
3. Relevance
4. Impact
5. Suistainability.


Katika vyote hivi utakuta kimoja bora kingine sio bora. Biashara au ajira, ina impact gani kwa mtu na generation? Ina ufanisi kias gan? Je inadumu over generation?
 
Uko sahihi mkuu. Hiyo 5m kama net profit kwa mwezi lazima uwe na mauzo (turnover) yasiyopungua 25m kwa mwezi. Kwa mfano mtu anayeuza suruali za 20k lazima awe anauza suruali 40+ kila siku. Yaani zaidi ya 800,000 kwa siku. Yaani sio poa.
Kuna biashara mm naifaham mkuu, ina faida kubwa kuliko mtaji kwa mwezi. Yan faida unayoipata mwezi inazid mtaji wote ulioweka
 
Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Wafanyabiashara now wanatambiana na jetour wasomi wanatambiana na mikopo ya IST. Kidin...
Inategemea mkuu... Maisha ni harakati na connection kote unaweZa toboa
 
Kuna biashara mm naifaham mkuu, ina faida kubwa kuliko mtaji kwa mwezi. Yan faida unayoipata mwezi inazid mtaji wote ulioweka
Nakubaliana nawe kuwa chache zipo. Biashara nyingi ambazo watu wanaogopa kuzifanya huwa zina pesa ndefu. Kwa mfano biashara zinazohitaji kuwa na vibali vingi huku polisi na mamlaka zingine zikifuatilia kwa karibu huwa zina faida kubwa sana.
 
Sahihi kabisa
 

Mtoa mada anazungumzia biashara sio uchuuzi
 

Mtoa mada anazungumzia biashara sio uchuuzi
 
Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
Anza kwa kufanya utafiti, mfanya kazi na mfanya biashara ni nani mwenye pesa? Kamfano kadogo, muuza chips (sehemu inayolipa) na mwalimu ni nani mwenye pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…