Kwa nini akina Kijekitile Ngwale walipigana vita vya Majimaji? Au kwa nini wahehe walipigana na Wajerumani. Lengo lilikuwa nini"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.
Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
Walipigania uhuru wa falme zao sio sisi. Ndio maana wengine waliungana na wakoloni kukandamiza falme zilizo adui kwao.Kwa nini akina Kijekitile Ngwale walipigana vita vya Majimaji? Au kwa nini wahehe walipigana na Wajerumani. Lengo lilikuwa nini
Usidanganyike. Ule ulikuwa ni mtifuano kati ya watawala wa kiafrika na wa kizungu.Wala sijataja nchi ya Tanzania
Sisi ni muendelezo wa vizazi vyao
kwahiyo unataka useme machifu hakuwa na umoja.Usidanganyike. Ule ulikuwa ni mtifuano kati ya watawala wa kiafrika na wa kizungu.
Wangekuwa wanajali kuhusu wewe wasingekata tamaa. Ilifika mahali machifu wakawa vibarua vya waingereza.
Bila Africans kuresist colonial rule, wazungu wasingeiachia AfricaUsidanganyike. Ule ulikuwa ni mtifuano kati ya watawala wa kiafrika na wa kizungu.
Wangekuwa wanajali kuhusu wewe wasingekata tamaa. Ilifika mahali machifu wakawa vibarua vya waingereza.
we mzee baba yesu toka lini alianza kuwa na dini,? au mnamuongelea yesu wa kwenye makanisa ya waroman na matawi yao maana kama yesu wa kwenye bible hakuwa na dini"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.
Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.
Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
Wazungu waliiacha kwasababu walitaka. Madhara ya vita vya pili vya dunia na kuanzishwa kwa umoja wa mataifa vilisababisha.Bila Africans kuresist colonial rule, wazungu wasingeiachia Africa
Hawakuhitaji watumwa tena, ila walihitaji resources, ila it wasn't worth it kwa sababu Africans were tired everywhere
Haijalishi walikuwa wananijua au la, huwezi kuwajua watu ambao hawajazaliwa anyway, sijui umetoa wapi hii logic ila whatever. Their sacrifice ndio sababu ya uhuru uliopo Africa
Unajidanganya. Wazungu waliondoka kwa sababu Waafrika walikuwa wanadai uhuru. Kuna part ya history unairukaWazungu waliiacha kwasababu walitaka. Madhara ya vita vya pili vya dunia na kuanzishwa kwa umoja wa mataifa vilisababisha.
Hata hawa watoto wa kishua kina Julius Nyerere na Jomo Kenyatta wasingesoma nje na kugundua siasa za kistaarabu bila ufadhili wa wazungu.
Kwanza waingereza walianzisha mfumo wa kusomesha weusi nje ili wapate vibaraka wazuri wa kusimamia mambo.
Nimemtaja Yesu, sio Mungu pleaseKuna jambo kwanza hauna ufahamu nalo.
Unajua karibu makabila yote ya Afrika yalikuwa na dhana ya Mungu Mkuu?
Una uelewa wowote kuhusu haya majina hapa chini?
Enkai, Katonda, Nyasaye?
Kama hao mababu walimwinamia Mungu, wewe ni nani hata uwaweke wao daraja moja na huyo Mungu wao?
Maana yake hata Yesu pia hakuteseka kwa ajili yetu, sio?Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?