Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

hicho ndicho anachomaanisha au kuelewa mpaka upigwe marungu ya medula oblangata!..😅
 
Kwa kweli mimi sikuwepo na siwezi kujua nani ni nani, ila!
 
Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?
Gaddemitt! 👍🏽
 
1. Jiulize kwanini nchi 33 za afrika zilipata uhuru kati ya 1960-1970, 17 zikiwa zimeupata 1960 pekee.

2. Kasome UN Charter ya 1945

3. Pitia kwa umakini trusteeship policy kwenye hiyo UN charter.
 
"Ancestors" wetu hawakuteseka kwa ajili yetu. Na kuondoa utumwa kulitokana na juhudi za jamii mbalimbali sio waafrika tu.

Yesu ni mhusika wa kidini anaabudiwa kila siku.
We jamaa na uazeist WAKO umeongeza BILA upendeleo YAANI hapa ni vitu tofauti mtoa MADA akajitafakali
 
1. Jiulize kwanini nchi 33 za afrika zilipata uhuru kati ya 1960-1970, 17 zikiwa zimeupata 1960 pekee.

2. Kasome UN Charter ya 1945

3. Pitia kwa umakini trusteeship policy kwenye hiyo UN charter.
Wazungu wasingeiacha Africa kama Waafrika wangeamua kukaa bila kufanya chochote
 
Then MADA haina maana ifutwe
 
Hizi ndo mada tunazo zihitaji zinachochea critical thinking ya watu, ila kondo za bwana nyingi zinatanguloza mihemuko ya Imani zao badala ya akili zao,
Kweli mtu asulubiwa kwa siku moja awe mlokozi wa billions of people kwa kitendo cha masaa tu, aliingii akilini kabisa.
 
Yesu kateseka kwaajili yetu, how? Porojo tu hizo
 
Kabisa mkuu, na ukizingatia hatuelewi alituokoa dhidi ya nini
Kama ni dhambi jinsi wanavyosema, basi mbona watu wanaendelea kuzifanya, kama ni mateso watu wanateseka kila siku, hakuna alichokiokoa. Ilikuwa ni bahati mbaya tu wakamchapa mijeledi ambayo hata yeye sio wa kwanza wala wa mwisho kupigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…