Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

Una hoja ya maana sana, inahitaji tafakuri ya kina kuijibu.

Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
Mwana adamu yupi wakati mimi sikuwa nimezaliwa?
Yesu aliondoa dhambi za mimi ambaye sikuwepo?
 
Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
Hakuna kitu kama hicho, kosa ufanye wewe halafu Mungu amuadhibu mwengine. Hayo ni matokeo ya akili kuongozwa na imani ndio maana mtu anaweza kukubali vitu kama hivyo.
 
Shida ni kwamba AFRICA hatuna historia.Historia yetu ukiaanza kuichanganua hata daftari la msomi halijai.We hujiulizi kipindi cha MEDIEVAL sisi tulikuwa wapi??Waangalie jammii zingine wana historia zao za kujivunia sisi ukitoa MKWAWA,MAJI MAJI NA MILAMBO ambazo zenyewe sio za siku nyingi sana tuna kipi kingine cha kujivunia?? Angalau wenzetu ETHIOPIA NA MISRI kwa africa wapo vizuri.SO ukisema ancestors wetu wameteseka kwa ajili yetu BIG NOOO
 
Pia vipi kuhusu Yesu kuteseka kwa ajili yetu, yenyewe ni BIG YESSS?
 
Pia vipi kuhusu Yesu kuteseka kwa ajili yetu, yenyewe ni BIG YESSS?
Hapo kwa YESU sasa Ni ipo kiimani zaidi kuliko kihistoria.Na mimi niliongelea kuhusu Historia ya Africa ambayo kwangu huwa naiona ina ukakasi zaidi
 
Hapo kwa YESU sasa Ni ipo kiimani zaidi kuliko kihistoria.Na mimi niliongelea kuhusu Historia ya Africa ambayo kwangu huwa naiona ina ukakasi zaidi
Sawa, vipi kwenye suala la Yesu, huku hauna comment?
 
Hapo ni vitu viwili tofauti
Kuna uhalisia na hekaya, daima vitu hivi havifanani
 
Una hoja ya maana sana, inahitaji tafakuri ya kina kuijibu.

Ila kwa engo ya kidini ama kiimani mateso ya Yesu kifo na ufufuko wake ilikuw sadaka ama malipo ya fidia kwaajili ya kurejesha mahusiano ya Mungu na mwanadamu.
huyo Yesu ILItakiwa afe mazima ndipo tungejua lipo kwa ajili Yetu, njemba linakufa then sasa hivi lipo tu linagonga tano mbinguni na sir God Lilitusaidiaje sasa?
 
Wenda Wazungu wasinge Kuja Ungekuwa Msituni Muda huu Unatafuta Chakula Cha Jioni,

Kwa Sababu Kila Kitu umeletewa Kuanzia Mahindi, mpunga, maharage, Ndizi, matunda ya kupandwa yote, Nguo Kila KituπŸ€”
 
Hakuna aliyeteseka kwaajili yetu. Hapa duniani kila mtu anapitia mateso kwa aina mbali mbali. Kila mtu na mateso yake...
Kama waliteseka kwaajili yetu mbona bado tunateseka?
Utalinganisha na mateso ya kuuzwa utumwani?
 
Una uhakika gani kama Yesu aliwahi kuwepo?
Ancestors makaburi yao tunayo.
 
Wenda Wazungu wasinge Kuja Ungekuwa Msituni Muda huu Unatafuta Chakula Cha Jioni,

Kwa Sababu Kila Kitu umeletewa Kuanzia Mahindi, mpunga, maharage, Ndizi, matunda ya kupandwa yote, Nguo Kila KituπŸ€”
Uongooo
 
Yesu ni WA Wazungu

Muhammad wa Waarabu.

Wa kwetu waliteswa na hao washenzi hapo juu
 
Kweli,

Asili Yetu sisi Africa ni Hunting hayo mengine yote ya Wazungu,
Kwa hiyo Babu Zetu wange weza wafukuza wazungu na mataifa ya kigeni Tungekuwa kama wa hadzabe Tanzania nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…