Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Afande Sele alilambwa makofi na P Funk halafu yeye ndio akaomba samahani. Yaani hii sio haki kabisa.
kwa kipindi hicho ilikuwa lazima afanye hivyo bongo record ndio ilikuwa lazima ugonge bit hapo ngoma ifanye poa pia majani alikuwa na vihela vya kusumbua,alikuwa na kiburi kinyama
 
Kwan kuna chid benz wawili??
 
Zola d kwenye ngumi yuko vizuri
Na anajua wengine wote fake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…