Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Kumbe ata vyuo vikifungwa kuna mada za ajabu ivi nikajua tu ni secondary. Sasa mfano nikisema prof J then what [emoji2369] ni kigezo gani unatumia kupata jibu lililo sahihi kwenye hii research yako yakitoto?
 
nae yuko vizuri
 
MWIJAKU NGUMI JIWE
 
Mtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.

Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli

Lord kwao wote ngumi na ugomvi umelala Lord ni mtemi na nusu unavo mwona Bou na Lord yuko mara 2 yake ana mdogo wake anae mfata tall hivi kwenye swala la ngumi hatari nilisha mshuhudia Arusha kwenye varangat lake moja club aliwakalisha watemi wakaomba Mungu
 
duh hivi inakuaga ni urithi wa vizazi kwa vizazi au
 
Yeap, nakubaliana nawewe....unajua Nako2Nako wote walifahamiana kwenye Dojo la pale Kaloleni na zoezi la mapema asubuhi pale Sheikh Amr Abeid uwanjani

Aboubakar...a.k.a Bou Nako nimeshuhudia matukio yake kadhaa akiwa alone anapigana acha...Amekomaa anapigwa ngumi havimbi [emoji2]
 
Kati ya uliwataja wengine ni hiphop ndio huwafanya kujiona wababe lakini hamna kitu akiwemo Ney. Wenye mafunzo rasmi ya Karate na wengine boxing ni hawa kati ya uliotaja ...

Zola D
Kalapina
Dudu Baya
bou nako
lord eyes
 
Wale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu

Ila majamaa wabishi hatar
 
Asante mkuu
 
Wale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu

Ila majamaa wabishi hatar
Tunaangalia ndani ka mzuka tu sign Beng nje na ndani nje ndani baby na machizi tunaulizia mikandamizo inaendelea Beng beng.....hapo hizo sauti na hapo kwenye MIKANDAMIZO inaendelea ndio uta ujua hawa watu hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…