Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bou Nako naye yupo njemaSasa chidi benzi si anapigwa hata na mke wangu.. hapo mbabe ni fido vato peke yake sababu ni mzuri kwenye martial arts .Zola D ni boxing na kala pina hamna kitu..
yule yule au copy yake?Mbabe wao Mbasha tu
nae yuko vizuriKumbe ata vyuo vikifungwa kuna mada za ajabu ivi nikajua tu ni secondary. Sasa mfano nikisema prof J then what [emoji2369] ni kigezo gani unatumia kupata jibu lililo sahihi kwenye hii research yako yakitoto?
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes
Wewe unahisi nani ni fire?
huyu si alipigwa na wajumbe kule kwenye kijan na njanoMWIJAKU NGUMI JIWE
Mtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.
Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli
duh hivi inakuaga ni urithi wa vizazi kwa vizazi auLord kwao wote ngumi na ugomvi umelala Lord ni mtemi na nusu unavo mwona Bou na Lord yuko mara 2 yake ana mdogo wake anae mfata tall hivi kwenye swala la ngumi hatari nilisha mshuhudia Arusha kwenye varangat lake moja club aliwakalisha watemi wakaomba Mungu
wadau wanadai kachoka saiv etikitu kalapina
hajachoka ila to some extent kastaarabikawadau wanadai kachoka saiv eti
Yeap, nakubaliana nawewe....unajua Nako2Nako wote walifahamiana kwenye Dojo la pale Kaloleni na zoezi la mapema asubuhi pale Sheikh Amr Abeid uwanjaniLord kwao wote ngumi na ugomvi umelala Lord ni mtemi na nusu unavo mwona Bou na Lord yuko mara 2 yake ana mdogo wake anae mfata tall hivi kwenye swala la ngumi hatari nilisha mshuhudia Arusha kwenye varangat lake moja club aliwakalisha watemi wakaomba Mungu
Kati ya uliwataja wengine ni hiphop ndio huwafanya kujiona wababe lakini hamna kitu akiwemo Ney. Wenye mafunzo rasmi ya Karate na wengine boxing ni hawa kati ya uliotaja ...Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes
Wewe unahisi nani ni fire?
Huyu mwamba kweli alikuwa anayawezaProfesa Jay
Yeap, nakubaliana nawewe....unajua Nako2Nako wote walifahamuana kwenye Dojo la pale Kaloleni na zoezi la mapema asubuhi pale Sheikh Amr Abeid uwanjani
Aboubakar...a.k.a Bou Nako nimeshuhudia matukio yake kadhaa akiwa alone anapigana acha...Amekomaa anapigwa ngumi havimbi [emoji2]
Asante mkuuKati ya uliwataja wengine ni hiphop ndio huwafanya kujiona wababe lakini hamna kitu akiwemo Ney. Wenye mafunzo rasmi ya Karate na wengine boxing ni hawa kati ya uliotaja ...
Zola D
Kalapina
Dudu Baya
bou nako
lord eyes
huyu si alipigwa na wajumbe kule kwenye kijan na njano
Tunaangalia ndani ka mzuka tu sign Beng nje na ndani nje ndani baby na machizi tunaulizia mikandamizo inaendelea Beng beng.....hapo hizo sauti na hapo kwenye MIKANDAMIZO inaendelea ndio uta ujua hawa watu hatariiWale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu
Ila majamaa wabishi hatar