Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Zola D msimlinganishe na hao wachumba, anaweza kuvunjavunja mtu kwa mikono yake!

Yuko vizuri na bado anazingatia mazoezi daily, Yuko fiti Sana!

Huyo kalapina akipewa jab moja tu mnachimba kaburi!
 
Mtu kama Bou Nako najua kabisa yupo vizuri na ni Mtu wa karate tangu zamani na mazoezi sana, so ana technic na pumzi ya kutosha na alishampiga kalapina na mshkaji wake.

Lord eyes pia, hao wengine wa DSM sijui kwakweli
fido vato je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…