Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Nmeoa single mother kwasababu siioni tofauti, wasio na walio na watoto hawana tofauti kitabia, nmeona ndoa zikivunjika pasipo kujari background.

Mijadala hii inawahusu sana Gen Z wa bongo kwani hata upeo wao unajieleza
 
Sisapoti huu ujinga kamwe na sitofanya hivyo daima, nimeona kwa ndugu zangu wameishi maisha ya baraka tele pamoja na kuoa ama kuolewa wakiwa na watoto


Hivyo nina personal experience, acha wajinga waendekeze upuuzi mimi nitasema kimoja


Upendo wa kweli unategemea kwa mtu halisi na sio Status ya kuwa na mtoto ama la


Wangapi wamepata mtoto wa kwanza pamoja waliofata wote wakabambikwa???

Wangapi wameoa mtu hana mtoto kuja kushtuka baadae watoto wote sio wao???


Kanuni kuu ni kuwa mapenzi hayana formula, tumuombe Mungu atujalie wema wa kuendana nao na sio vinginevyo maana yote ni ubatili vikiwa havina baraka ya alie juu
 
Nmeoa single mother kwasababu siioni tofauti, wasio na walio na watoto hawana tofauti kitabia, nmeona ndoa zikivunjika pasipo kujari background.

Mijadala hii inawahusu sana Gen Z wa bongo kwani hata upeo wao unajieleza
Wewe endelea kujipa moyo


Ni suala la muda tu 😁

Tuanza hii comment
 
Je sisi single babas unatushauri nini?
 
Wewe endelea kujipa moyo


Ni suala la muda tu 😁

Tuanza hii comment
Sikatai, kwani nmeeleza kila kitu
We tafta katoto toa bikra na ikiwezekana oa kabisa, mwisho wetu mim na wew hautabiriki

Me ntajipa moyo na kujisemea "nlijua yatakuja" wew kitanzi kitakuhusu kwani hutakua na maandalizi yoyote
 
Mwanamke ana zaa na mwanaume anayempenda haijalishi amebakwa au hajabakwa . Kama hakupendi atatoa mimba yako au atatolewa mimba

Kuoa single maza ni kuoa mwanamke anayempenda mwanaume mwezako mpaka akaamua kudhihirisha kwa kumzalia mtoto ili awe na bond nae. Huyo mtoto alie nae alichanuliwa mapaja, akakojolewa na mwanaume mwezako na kwa upendo wake akambebea miezi 9 na kumzalia.

Hivyo wewe unaekuja kuoa single maza kaa ukijua hapo haupendwi . Yupo kwaajili ya kukutumia na kukudhohofisha wewe ili kupata huduma yeye na huyo mtoto wake.

Alichokiunganisha Mungu hakuna wa kukitenganisha labda kifo tu na wakati mwingine kifo hakiwezi kua applicable.

Mtoto ni kiungo baina ya mwanamke na mwanaume. Single mama ni mke wa mtu acha kuanzisha familia ndani ya familia y mwanaume mwezako. Tafuta mwanamke wako piru anzisha nae familia
 
Endelea kuishi na huyo single maza ipo siku utakuja kujilaumu sana . Maamuzi ni yako usubiri majuto au uyakwepe majuto kabla hujaongeza miaka ya kuendelea kuishi na huyo mke wa mwanaume mwezako
 
Endelea kuishi na huyo single maza ipo siku utakuja kujilaumu sana . Maamuzi ni yako usubiri majuto au uyakwepe majuto kabla hujaongeza miaka ya kuendelea kuishi na huyo mke wa mwanaume mwezako
Single maza anafaa pale tu unapokuwa na watoto na umeachana na mama yake..
Ndipo unachukua single maza ili mtumiane yaani wewe umkuzie watoto wake na yeye akulelee watoto wako
Over..
 
Endelea kuishi na huyo single maza ipo siku utakuja kujilaumu sana . Maamuzi ni yako usubiri majuto au uyakwepe majuto kabla hujaongeza miaka ya kuendelea kuishi na huyo mke wa mwanaume mwezako
Mkuu, huo ni mtazamo na imani yako.
Kuna waliooa bikra na wanachapiwa wengine hadi kuachana.

Kuna wanawake wameolewa kabla hawajawa single mothers na bado ndoa zao hazijadumu.

Ndoa hazina fomula. Asante mkuu kwa mtazamo wako
 
Si bure wewe mwenyewe ulikuja na mama yako kwa unayemwita baba
 
Miaka mitatu ni ya kutembea kifua mbere kweri kwa ushahidi huu?

Ushawahi jiuliza ikiwa siku mumewe akirudi au akafahamu aliko, mustakabali wako wewe msamaria utakuwaje?
Ulibahatika mkuu ukipata kama huyo,mashallah wanakupea yoooote
 
Mawazo ya kipumbavu hayo!
 
Mkuu umepiga mulemule! Hili takataka ukute limeoa mwanamke aliyechoropoa mimba mpaka basi!
 
Jipige kifua utamke, " Ila nilikosea sana kuoa mke wa mtu!"
 
Mwamba uko wapi nije nikutembelee tupige story za haya malezi! Mama wadogo wanataka kujichanganya kwangu nataka nije niwalipue. Maana wanajiona wao kama malaika wakati na wenyewe walienda kwa waume zao wakiwa na watoto! Sasa wanamwona my wife kama mtu wa hovyo na mimi wananiona mpuuzi eti kwa nini sikuoa kabinti! Wanafikri siri zao hatuzijui eti tulikuwa watoto! Nitawalipua hawatakaa wanisahau na kama ka undugu kanakufa wacha kafe mamanina zao! Nitawauliza walivyotutelekeza tulivyoondokewa na maza wetu tukiwa wadogo hiyo huruma sasa hivi wameitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…