Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Vijana punguzeni u serious na wanawake, mi nikimuelewa yoyote naweka gheto akizingua anasepa naweka chuma kingine.

Nipo bize nasaka mahela na kila kitu changu nimeweka jina la mama, Haliwi mtu hapa🤣

Your browser is not able to display this video.
 
Anaishi naye wala haishi kwako so waache vijana wafurahie mapenzi
Acha wivu
 
mbona umeipiga vita sana hii 😄 mapenz hayana formula mkuu kila mtu na option zake
 
Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Usiwaze yote hayo mkuu. Kikubwa hangaika kuwalea watoto wako kadiri unavyojaliwa. Mungu akuponye moyo uliopondeka.
 
Akitokea na ukaribu na mama mtoto ukawepo, nawaacha waendelee na maisha yao. Uzuri ni kwamba hiki ninachokisema hapa huwa namkumbusha mara kadhaa. Kwa hiyo uamuzi ni wake
Mmefunga ndoa? Maana yake utampa taraka na kuondoka na haki zake? Vipi mtoto una vyeti vyenye majina yako?
 
Somo nzuri alafu la bure,kama itakupendeza naomba ufungue shule ili kuleta vijana wetu waje kupata elimu ya kujitambua kutoka kwako.
 
Wewe utakuwa nikaka yangu wadamu ,wewe ndie nilikuletea hili suala nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…