Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Mh sasa kama ndohivyo single mothers wataolewa na nan? Au unamaanisha wakae bila ndoa?
 
Polee mzee
 
Mimi naona hapa kila mtu aamue vile nafsi yake imemtuma.

Maswala ya kupangiana cha kufanya hapana.

Mtu kama unaona unaweza ishi na single mother sawa.

Kama moyo wako hauna amani kuwa nae acha.
 
Hao single mother ushawaona lakini?
View attachment 3094281
Yaan hizo move za mikono na vile anaweka sura ndio inaleta picha kamili ya hao viumbe.

Kuna mwingine hapa sasa hivi katoka kuniambia ooh nimechoka nishafunga virago vyangu, nataka kuondoka kwangu nikaishi maisha yangu ya amani..
Nikamuuliza una watoto?
Kajibu: wawili na wote wa huyu mwanaume.
Nimemwambia tu kuwa ukiondoka ujue kabisa umeisha, hutaweza kupambana na hii dunia.

Utawika kwa miezi kadhaa yaani nilivyomwambia kuwa hata buku nne ya dawa ya mtoto itasababisha atanue mapaja bila chaguo kaogopa kisenge na kunisikiliza kwa makini sana, akanipa na reference kwao kuna shangazi yake keshamuonya maana yeye ni mkubwa kishenzi like 49 but anatamani angekuwa kwenye ndoa, but kabaki kuwa single mother.
Manz akachukulia aunt yake anataka tu yeye abakie kwenye himaya ya mwamba but baada ya kunisikiliza kwa muda kuwa wakwangu nae aliondoka huu mwezi wa sita na ninachopanga kumfanyia ni suprise yaani.

Nampelekea vitu vyote ili nihame mkoa kabisa kaogopa sana na kuanza kumuombea mwenzake msamaha.
Lakini kusikia nasema kuwa yule hana nafasi tena kwangu maana nilimkuta singo mama but nikamuoa then ameleta habari za kumove on nimemwambia atulie ili achukue funzo kwa huyu wa kwangu.
Asidhani kuwa kila mwanaume anapofanya maamuzi anatoa taarifa..
Mimi niliapa hatua zangu zote zitakuwa ni suprise kwake yaani atashangaa tu picha limeisha yamebaki matokeo aliyoyaandaa mwenyewe..
Kama nakosea ni sawa but I need to be free from these suckers and heart diseases.
 
Sina cha kuongeza wala kupunguza, NAKAZIA tu.
 
Mkuu, kwa maelezo haya Single mother wataendelea kuimbwa mno.
 
Niongeze nini tena hapa? Umemaliza kilakitu...mwenye macho na aone, mwenye sikio na asikie.
 
Muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…