Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

Hicho kifamilia kilitoka wapi? Kama si kwako basi kwa ndugu zako. Kwani wanazaaga na nyani?
Mkiacha uzinzi,hao single mother watatoka wapi? Mbona wengine ni hao mnaodai wake zenu mnawatelekeza kisa ma barmaids,na hao hao mnawamimbisha!
 
Roho mbaya tyuu.!!
Nyie wenyewe mmelelewa na baba sio wenu.. ila mmekua midomo mirefu km chuchunge 🀣🀣🀣
Mbona umechomoa bastola kwenye vita ya rungu?
 
Kuna maneno umeandika πŸ€”πŸ€” yamefanya nimkumbe Single Mama moja hivi niliwai kuwa nae.

Kiukweli unaweza kuona unapendwa kuhusu burudani ya viungo vya uzazi hana Choyo wala ubinafsi kabsa ni mwanamke mmoja ambae Kwa Jina la mapenzi pesa yake Pesa yako haogopi kutumia pesa yake kwako km weapo ukiwa hauna Kwa wkt huo Binafsi kuja Kwa nauli yake kuja kwako au kutembea umbali mrefu kuja kwako sio shida zake. Kiukweli Kwa kuwa Moyo hauna macho yote aliyokuwa anafanya dhidi yng niliona ni Upendo (Mpk Leo naamini ni miongoni mwa wanawake walionipenda) na hii sio kwake tu Currently nilipata tena single Maza oi hawa watu Wana Upendo special kabsa nae piah anaingia kwenye lists ya wanawake waliowai kunipenda mpk Mi mwenyewe kuhisi ni Upendo huo (Nimemuweka na huyu Kwa sababu ni Singles Maza na Character wanataka kufanana)

Shida yao ni Moja km sio Mbili na hii nahisi ni kwa Single Mothers wote? Uwenda ndy inaweza kuwa Sababu ya kuamini single Maza hatakiwi kuolewa na ndy kilichofanya nipende Comment yako Bro kuona unaongea Ukweli

Single mother hakupendi, anachokitaka kutoka kwako ni uhakika wa kula na kulala yeye na mtoto wake

Naomba nirudie tena, hakupendi, anahitaji umsitiri baada ya soko lake kushuka ivyo sio hitaji la bad boys boyz tena

a) SINGLE MOTHER wote Uwaga wanaamini thamani yao imeshuka kuzalia nyumbani.(Hivyo Njia nyepesi ya kurudisha Thamani yao ni Kuolewa Kwa Ndoa za Kidini) hivyo wanapoingia kwenye Mahusiano wanaweza kujitoa kiasi ambacho ni rahisi kuamini unapwendwa. Lkn Swali la kujiuliza AKISHAPATA HIYO NDOA NA HESHIMA ANAYOITAKA Je Upendo wake utabaki km alivyokuwa kwenye Mahusiano au ndy Atarudi kwenye FACTORY DEFAULT SETTINGS

b) Matamanio ya Kupata Mtoto yanatofautia yani ukiwa na Single Mothers ni km upo kwenye Demand & Supply Curve zina uhusiano hasi We unawaza kuwa Baba yeye Hana tena hamu ya kuwa Mama (Maana tayari ni Mama) na Wengi wao wanakuwa wanaogopa tena kuzalia nyumbani inawapelekea kuwa na Uzazi wa Mpango tena Kwa Njia ya Kijiti. Enzo Case Study 2 hapo Juu wote walikuwa na hiyo Issue moja alikuwa ndy katoka kutoa karibuni lkn anakuambia hataki kuzalia nyumbani kwao (Kasahau kuwa tayari kashazalia kwao) mwingine huyo ndy kabisa ana Kijiti cha Miaka 3 ndy anawaza kufikiria kupata Mimba so. Kuwa na hawa watu ni changamoto specially ukiwa na Matamanio ya kuitwa Baba watakuchelewesha au kukuingiza kwenye Ndoa ambayo utakuja kuijutia.

Lastly πŸ˜‚ Kwa watu Ambao Uzazi wao upo mbali(Kuchelewa kupata Mtoto) ukioa single Maza utaoneka wewe ndy unashida kwenye Kizazi sio mwenzio kata hayo yote Mapema πŸ˜‚ km ni koa single maza hakikisha na wewe umetafuta Vitoto hata Viwili ndy mje kuoa Aggregate ikiwa Ipo Sawa au unamzidi lkn sio Ucheke Second Legs wkt First Leg uijui imetoka Je.
 
Kwanza mpaka unafikia hatua ya kuanza kuchunguza hadi historia ya wife-mate wako maanake unampaka rangi donkey ili ageuke zebra, inshort wewe unadhani tunaopinga hili suala ni kwamba tunafanya fasheni?
Sikiliza we jamaa nakuomba kwa majina yote Allah kwa Waislamu Mungu kwa wakristo na LUCIFER kwa Illuminati wote badilisha hiyo akili na namuomba hata MUNGU akuongoze

Mimi nimeishi nae na hakuwa na mawasiliano na mzazi mwenzake kwa miaka kumi but huyo mtoto ndio kaivunja hii ndoa iliyodumu miaka kibao yaani hajajali wale wawili niliozaa nae yeye kajali yule aliyekuja nae kwangu.
Back then nilikuwa nafungua nyuzi zinazoongelea masingo maza kimachale yaani nikawa naziogopa kama ukoma yaani ujue akili ya wanawake imejaa wenge na kujishitukia yaani wanawake wote wako hivyo hawajiamini kabisa ukitaka kuprove hilo kama una mamaako we mkazie macho machoni mwake utaona anavyobabaika unajikuta hata kakufokea we nae unanitumbulia mimacho shida nini? Huyo ni mama yako je mkeo ambae amehifadhi maovu mengi dhidi yako unadhani atajenga picha gani muda huo?
Je huyo singo maza? Hatutaki kujua huyo mto kaletwa duniani na atmosphere ipi ya mahusiano.
Yaani kitendo cha yeye kuexist between you two halafu sio wako.
Bro atakuletea changamoto tu ambazo huko mbeleni hata kama ni baada ya miaka kumi na tano kama mimi na itakuuma sana ukikumbuka kuwa ulimtreat ili ajisikie kuwa ni kama wako kumbe mama yake anatafuta loopholes za kumthibitishia kuwa yeye sio wako.
Unafanya nini ukishagundua umekosea kama mimi? Unalia kwanza ndani peke yako hata kwa wiki nzima then unanyanyuka unakubali kwanza kuwa ulikosea kuchagua mwenza kwanini unatakiwa ukubali kuwa ulikosea??
Ili uziepuke njia za aina hiyo hiyo ili ukimuangalia singo maza ukumbuke kuwa she was not made for you..
So unaendelea na maisha but usipokubali kosa lako ndio hivyo unaanza kuleta justifications ambazo utajikuta umerudi pale pale
Labda nikuambie simple uelewe kuwa sisi wakurya ndio wafalme wa kuoa single maza hapa Ulimwenguni but ukiona mimi mkurya nimekwambia kuwa achana na singo maza heshimu hicho kitu bro nakuomba tu usiwafariji waliokwisha kujitwisha hiyo mizigo waambieni uhalisia bila kupepesa "Kweli unacheza wewe" in ngwea's voice in huyo ni demu wangu
 
Nyumbu anabaki kuwa nyumbu tu, Hata mto uwe na mamba wengi bado ataka kuvuka tu.
 
Mkeo anatombwa na nani?
Mie sina mke ujue...kibamia changu kikwazo kupa nke.
Vipi wee unaweza nivumilia na kibamia changu uwe nke wangu? I promise nitakuruhusu uende kuonja de liboloz huko nje
 
Mkuu, kwa maelezo haya Single mother wataendelea kuimbwa mno.
Vibaya mno najua baada ya mimi kung'oa nanga mazima yaani ujue kuna movie zinaishaga huku watazamaji wakiamini kuwa kampuni husika italeta muendelezo hadi inapita miaka kumi ndio wanagundua kumbe wanatakiwa kukubali kuwa ule ndio mwisho.
Kuna dada mmoja yeye aliyashuhudia haya
Baadae nilivyomshirikisha akaniuliza kwa hiyo unataka nikusaidie arudi au nikusaidie nini?
Nikamwambia nisaidie nimove on na mimi.
Akaniuliza ila bado unampenda au humpendi nikamwambia nampenda vibaya mno lakini naogopa atasababisha nizeeke masikini na ni kitu sikitaki akaniambia basi kama ni hivyo unataka kumove on fanya hivi piga hatua zako kwa umakini sana maana sisi wanawake hatuwezi kumove on ikiwa tunawaona wale tuliowaacha wako karibu na tunaweza kuwafikia kwa wepesi yaani ili kuchana nae kabisa weka barrier ili asiweze kukufikia tena wala usikae na watoto wake maana mtoto wako anaweza kukuomba umrudishe mama yake na wew ukajikuta unamtimizia mwanao mapenzi yake
So chuku hatua zote kwa tahadhari alazimike kutafuta mwanaume mwingine kabisa tofauti na wewe ili awe anakufikiria lakini hawezi kukufikia hata ukija kuwatembelea watoto wako asiwe na access ya kukumiliki atambue kuwa ulishampoteza na yeye alishakupoteza mazima usimpake mafuta katika hilo kama kweli unahitaji kumoveon.
 
Single mother Oyee.
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta huyo wako inaonekana kidogo alikua na utindio wa ubongo sema haukumgundua mapema kwahiyo hiyo haiwezi kuondoa uhalisia kwamba wapo single mother ambao ukipatana nao mnaunda very nice couple.

Hisia za mapenzi hazijawahi kuchagua kwa kutua, so tusiwalaumu saaaaana hawa singo maza wengine wanamlolongo mrefu wa matukio hadi kupelekea kuzaa kabla ya ndoa, wapo watu walifanyiwa vitendo vya kikatili hadi kupelekea kuzaa kabla ya umri hitajika.

Anyway, wewe kesi yako kidogo ni ya tofauti.

Mimi binafsi siwezi kujiwekea limitations coz sijui what future holds kwa maana mapenzi huwa ni swala la hisia zaidi kwahiyo huwezi kujua wapi moyo wako utaangukia ingawa mtoa mada ameshauri vizuri sana kwamba inawezekana kweli unampenda ila jitahidi kuzuia hisia zako kwa maana utaumia lakini utapona ila mimi nasema upe moyo wako furaha kwa maana maisha yenyewe ni mafupi sana haya so if you get chance just use it, aye.

NB: still niko 50 50 yaani in out, out in sina upande hadi sasa.
 
Hayaa kumekuchaaaa sasa, single mamaz again.
Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu ukiishi na single maza tu ukazaa nae yaan unakuwa ushajichafulia historia yako hapa duniani but huwa hatujui kabisa yaani unawaza kama inawezekana uwachomoe wale watoto wako kwake but unagundua kuwa umezaa nae huyo huyo yanabakia kuwa majuto..
Sasa mkuu najiulizaga kwenye Mirathi itakuaje hapo. Sasa watoto kutoka ukoo "A" si wata rithi mali za ukoo "B"
 
Mimi nina Single mother wawili wote siwaoi nawatumia tu nawao walivyo wajinga kichwa Maji wananifosi niwaoe, hawajui kama nina mpenzi wangu ambaye haja zaa, Yani nimuache ambaye haja zaa nioe Used.
Roho mbaya tyuu.!!
Nyie wenyewe mmelelewa na baba sio wenu.. ila mmekua midomo mirefu km chuchunge 🀣🀣🀣
 
Umeongea ukweli mtupu na una uzoefu nao na unawajua kiundani zaidi. wengi wao wanataka uwalee watoto wao tu na hawataki kusikia habari ya kuzaa tena,Singe mother mwenye uchumi wake mzur na mtoto wake kwao siyo njaa huyo kidogo anaweza akakubali. kuzaa mapema kama utamuoa.
 
Hahahah "hits harder like 50kg on the scrotum" made me roll down on laughters.

She's right, you gots to be the daddie man. Feed the nigglets please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…