Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Uko sahihi mkwe! Kuna kundi ukiongozana nalo pia unafiki wivu na magomvi yakipuuzi! Bora umechagua kakundi ka madogo hapo huwezi kuonewa wivu, huwezi kusikia hili wala lile! Hao hawana pressure unaishi nao kama wanao tu, uzuri watakuheshimu na kuwa machawa hata ukiwa na kadem kazinguaji wanakusanua mapemaa😁
 
Hawa mimi ni mshauri wao kuhusu maisha maana daily lazima usikie kamoja kanilia mara mwenziye kamgongea demu ,mimi ni mwendo wa kuvikalisha na kuvisuluhisha .

Hapo bado havijapigana na watu mtaani na kujigqmba sisi mtu fulani ni brother hivyo hatuogopi chochote na hutupeleki popote .
Sasa ikitokea vikaletwa popote watu wakijakujua mimi ndiye naitwa brother kwao ,watu wenyewe wanashika midomo ila ni kampani fulani yenye mengi sana ila sijutii kuwa nao .
 
Hizo jobo nimepiga sana zinachangamsha ubongo
 
Vinajifeel safe sio? Vifundishe kujisimamia sasa si vya kiume hivyo? Wakizingua sehem lazima wakalazwe ndani sio kila kitu braza😄
 
😂😂😂😂
 
Sio mbaya ni kifupi Cha Tanzania,lakini inategemea inatumika wapi.kuna mahali unaandika mfano makala serious badala ya kuandika Tanzania unaandika TZ.unaharibu.
 
Acha kutongoza vitoto vidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…