Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Mkuu ishi na sportybet ,na saiv wamekuja na flashwin ni nomaaa

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huna unalojua kuhusu betting mkuu. Kampuni za betting hazijawahi kupata hasara kwa ushindi wa wateja. Kwa taarifa yako ukiacha biashara ya madawa ya kulevya, biashara ya maudhui ya ngono Biashara inayofuata kwa kuwa na mzunguko mkubwa wa pesa Ni Betting and gambling hata biashara ya madini haioni ndani. Ujue mhindi anawapuna mabilioni wewe ukishinda unajifaraiji hata hao walitoshinda huenda walisharudisha zaidi ya nusu ya hiyo pesa wao wenyewe.
 
Hapa kuna harufu ya ujanja ujanja tu. Unashinda unatapelewa unashindwa unaliwa.

Hiyo list ya watu elfu sabini walioshinda Jackpot huwa inawekwa au unaambiwa tu mmeshinda watu elfu sabini?
Nimewahi kuingia kwenye mgawo wa betpawa mara kadhaa nikaacha,maana unabet jackpot ya timu 17 mikeka kama 30 kwa sh 3000,unaingia kwenye mgawo unapata sh 250, ila week iliyopita waliweka timu zenye odds ndogo ,walioshinda timu 17 zaidi ya watu 20 na kila mmoja mil 22, chini ya hapo wote wamegawana chini ya sh 1000. Nadhani betpawa ni kwa vile jackpot ni sh 100 watu wanakuwa wengi. Ila sportpesa kwenye mgawo wanatoaga hela nzuri na walioshinda bonus wanawaweka kwenye social media wameshika mabango
 
Makampuni mengine hata uwahi kabla odds zikiwa juu kuna settings za accept odds changes(Yes/No),ukikubali hata ubet asubuhi odds zitaendelea kupanda na kushuka humo humo kwenye mkeka
 
Sportpesa anaingiza faida Bilion mbili kwa siku, siku za gemu aje ahangaike kubadili mkeka wa 5000 na kampuni ime expand mpaka Ulaya , south Africa na ndio kampuni yenye wateja wengi Tanzania
Vile vile watu wa jackpot wanapiga mil 200 hadi bil 1 na wanapewa kwanini wa 5000 adhulumiwe?
 
Vile vile watu wa jackpot wanapiga mil 200 hadi bil 1 na wanapewa kwanini wa 5000 adhulumiwe?
Mkuu kuna wafanyakazi ambao sio waaminifu, hata benki zinaingiza pesa nyingi tu lakini kuna mateller, cashier na wengine wanajiongeza humo humo. Tigopesa, mpesa n.k wanainhiza hela nyingi tu lakini haiondoi ukweli kwamba lazima kuna wajanja wanaocheza na mfumo kupiga dili
 
Ok, mkuu. Wawatangaze na TBC wacheza kamari wapongezwe na serikali.
 
Vile vile watu wa jackpot wanapiga mil 200 hadi bil 1 na wanapewa kwanini wa 5000 adhulumiwe?
Mkuu kuna wafanyakazi ambao sio waaminifu, hata benki zinaingiza pesa nyingi tu lakini kuna mateller, cashier na wengine wanajiongeza humo humo.
 
Betpawa walishindwa kulipa wateja😂 acha upotoshaji mkuu hiyo hela walitoshinda hao wateja haitoshi hata bajeti ya mwezi ya uendeshaji wa kampuni ya Betpawa
Hiyo nadhani ilikuwa mwaka jana mwezi wa 8, kuna week timu zote kubwa zilishinda mi nilikula mil 2.9 betpawa, watu wengi walishinda hiyo week yupo hata aliyepiga mil 300+ ,walikuwa wanaweka bonus kubwa ukibet,kuanzia hapo hadi leo hawajarudi kuweka bonus za odds 1.01 hadi 1.40. ilikuwa unavyojaza timu ndo bonus inaongezeka
 
Nimemwambia ndugu yangu uko kashindwa kunielewa, mimi nilipiga milioni kadhaa na nikashindwa kuwithdraw.

Wale jamaa walivyopigwa parefu walizuia huduma ya kuwithdraw, waliondoa baadhi ya options, walipunguza odds na bonus, pia walipungiza maximum winning.

BIla shaka ulikua mpango wa ku-maintain profit yao.
 
Kumbe nao watakuwa wanapigika sana eee
 
Sasa pale wangepigwa sana maana unavyoongeza timu hata over 0.5 bonus inapanda, kuna mmoja alipata timu 60 odds ndogo ndogo bonus 1000% alishinda mil 110. Week ile hadi mikeka ambayo ni lost ikaonekana kama bado zipo active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…