mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mimi hii yangu natumia muda mwingi nipo pekee yangu. Maana nimegundua watu ni wanafiki sana.... Siazimi hata mtu akiniomba labda iwe msiba au kuna dharula ya mgonjwa. Ila mambo ya sijui harusi watakwenda kukodi uber huko.
Mmmmmmhmn labda we mwenzetu una ngekewa, ila kwa sisi wengine traffic ukimzingua na kubishana nae anazunguka nyuma ya gari anatia plate number anakutolea risiti utaja ikuta huko mbeleniSijawahi zaidi ya 5k mkuu, pale mapipa nilivuka zebra mtu anacross traffic kanipiga mkono, nikaimbisha dk2 akaniambia nenda. Yangu haitoki ovyo, nabisha mpaka jamaa anajiuliza huyu anatokea wapi..10k nawasikia nyie!!
Approach yako tu, unakosa halafu unakuwa mkali, lazima ule vitasa. Kubali umekosea then tafuta namna ya kumwambia it's ok lakini hakuna sababu ya kuniadhibu kwa kosa hili.Mmmmmmhmn labda we mwenzetu una ngekewa, ila kwa sisi wengine traffic ukimzingua na kubishana nae anazunguka nyuma ya gari anatia plate number anakutolea risiti utaja ikuta huko mbeleni
Haaahaaa kwamba wakajua umefulia?Nakwambia acha tu.... Kuna kipindi niliuza gari nikaanza kuhesabu hekari kama mwaka hivi, aisee nikajua unafiki wa wanadamu the way walibadilika namna ya kunitreat. But nilipochukua nyingine ndio nikaanza kuadopt na hali halisi ya maisha
Ahaaaahaaaaaa jamani mbavu zangu[emoji1787][emoji28]Aisee mkuu umepitia changamoto kama zangu. Mimi mwenyewe mwaka juzi nilinunua gari japo ilikuwa used iliyotumika bongo. Basi aisee nilipata marafiki wengi ghafla hata walipotokea hapajulikani.
Ilikuwa kuanzia saa moja tu asubuh simu zinamiminika kabla sijaamka watu wanajazana gheto ili nikitoka nipige nao misele. Sasa ile gari nikaiuza basi huwezi amini wale watu waliyeyuka ghafla hadi leo hawana habari na mimi.
Nina mpango mwakani ninunue nyingine na nitakuwa sitaki mazoea na mtu.
Kuna siku zinagoma mama, huwezi kuuza gari kisa umekosa pesaAnaishi maisha ya hatari sana huyo jamaa, ukiweka gari barabarani hakikisha una angalau 50,000 ya kuongea na traffic, wale jamaa hawaelewi lugha nyingine.
Watu wa jf wana hela kaka.Laki? Witty dah! Buku kumi mbona inatosha sana, muhimu wese liwepo!!
Hakuna kitu kama hicho Mimi natoka daily sina pesa mfukoni sometimes natoka na buku 2 Tu naenda zangu mjini na maisha yanaendelea kama kawaida...Anaishi maisha ya hatari sana huyo jamaa, ukiweka gari barabarani hakikisha una angalau 50,000 ya kuongea na traffic, wale jamaa hawaelewi lugha nyingine.
Hao wa Dar ndio wananiogopa sana sana, sijawahi kuwapa Hata senti tano! SijawahiSio dar...mkoan labda
Mimi natoka sina Hata kumi, màisha yanaendeleaHakuna kitu kama hicho Mimi natoka daily sina pesa mfukoni sometimes natoka na buku 2 Tu naenda zangu mjini na maisha yanaendelea kama kawaida...
Basi utakua mjedaHao wa Dar ndio wananiogopa sana sana, sijawahi kuwapa Hata senti tano! Sijawahi
Leo nimeamini kunaHa ha ha ha ha ha ha honest truth. Gari bila kipato ni sawa na mwanaume asiye na pesa kuishi na mwanamke mzuri anaetakwa na kila mwanaume.
Gari haitaki maigizo. Gharama inakuja katika sura nyingi...
Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari.Mimi natoka sina Hata kumi, màisha yanaendelea
Kuongea na watu tu vizuri na kuheshimu kazi zaoBasi utakua mjeda
Yeah kikubwa kuwa na strong and reliable network! Acha kukusanya kila takatakaLeo nimeamini kuna
Kuna watu bado wana zana za kale kuwa anayemiliki gari basi pesa nyingi kitu ambacho sio kweli alafu pia nimegundua hapa JF bado kuna watu ni waoga wa maisha wanaowaza kulipwa mshahara Mkubwa ndipo wanunue Magari.
Umeshakuwa expert.Hakuna kitu kama hicho Mimi natoka daily sina pesa mfukoni sometimes natoka na buku 2 Tu naenda zangu mjini na maisha yanaendelea kama kawaida...
Duh hivi haya ni kweli au maigizo jamani. Ila huu uongo mweupe.Aisee
Mimi nikiwa na drive najitahidi nisikose laki tano kwenye gari, kuna pancha kuna kukwaruzana nk.
Usiweke hela kwenye gariAisee
Mimi nikiwa na drive najitahidi nisikose laki tano kwenye gari, kuna pancha kuna kukwaruzana nk.
kwa lugha nyingine una kibubu cha ziada kwenye gariHiyo laki tano inakaa muda mrefu sana kwenye gari kaka inakata mwezi wa tano huu...
kama bank vile nikikwamaga naichomoa then narudisha
Siku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjiniNi hatari sana.
Imenitokea wiki iliyopita natoka udsm, sasa kama unaenda kimara lazima uje upite mawasiliano hapa, sasa kuna hilux iko mbele yangu ikakatisha kwenye barrier zile za barabara ya fly over na ile ya kawaida, na mimi nkataka kuiga, tairi za mbezi zimepita gari ikakaa, tia 4wd, chuma ikagoma, mfukoni empty set..