Mimi sio mgeni mjini na njia hiyo siijuiSiku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjini
Kama huijui hiyo njia naomba ukubali kuwa ni mgeni. Sio lazima kila mtu awe mzawa wa DSM wageni lazima muwepo ndio maana kuna Ubungo Terminal kwa ajili ya kuwapokea. Unaijua njia ya Goba to Malamba mawili kwenda Kinyerezi?Mimi sio mgeni mjini na njia hiyo siijui
Siku nyingine ukitoka UD kwenda Kimara kuna njia ya lami inakuja kutokea pake Bahama Mama, PUMA Petrol Station sio lazima urudi mawasiliano. Nyie ndio mnasababisha foleni wakati kuna njia nzuri mbadala. Nadhani we ni mgeni mjini
Laki si pesaWatu wa jf wana hela kaka.
Sio mimi niliandika hivo,angalia vizuriSasa mbona kwenye hoja yako uliandika kuwa ulikuwa unaenda Kimara kutoka UDSM kupitia Sam Nujoma Road
Hata hivo ningekua mimi pia hiyo njia unayozungumzia wewe siijui sababu sio mwenyeji hata mimi nikitaka kuenda kimara kutoka udsm ningepita sam nujoma roadSasa mbona kwenye hoja yako uliandika kuwa ulikuwa unaenda Kimara kutoka UDSM kupitia Sam Nujoma Road
unaendaje kwenye foleni wakati kuna njia haina jam wala mataa?Unazunguka sana hii njia, naifahamu vizuri na ilikuwa rahisi kupitia ubungo kwani nlikuwa kitivo cha uhandisi huku chini(CoET)
poa sio kesiHata hivo ningekua mimi pia hiyo njia unayozungumzia wewe siijui sababu sio mwenyeji hata mimi nikitaka kuenda kimara kutoka udsm ningepita sam nujoma road
"kwa m'bongo wa kawaida hilo ni jambo la kawaida mnooooooooo na ukiomba lift anakunyima usije ukamletea mkosi njian..........."Dah nimeanza kujifunza kitu. Kuna muda mtu unamuona anapita na kausafiri kake especially hivi vibaby walker, ukasema ameyapatia na ile hali hapo hiyo route anapokwenda akikosa anachokifuata basi anaweza asiweze kuamsha gari sababu ya kukosa fuel ya kumrejesha home..
Njia kubwa sana hiyo.Mimi sio mgeni mjini na njia hiyo siijui
....Gari linaweza likakupa heshima ambazo hukustahili..[emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha ha ha honest truth. Gari bila kipato ni sawa na mwanaume asiye na pesa kuishi na mwanamke mzuri anaetakwa na kila mwanaume.
Gari haitaki maigizo. Gharama inakuja katika sura nyingi...
Amina mkuu.... Amina.....Kitu nilichojifunza kwenye huu uzi wana JF wameongea uhalisia wa maisha yao, kule kwwnye nyuzi nyingine ukizisoma unaweza ukafikiri kila mwana JF anamiliki ndinga la kuanzia milionj 50..
Anyway, nirudi kwenye point...ni kweli ukiwasha gari uwe na akiba yoyoye mfukoni mathalani elfu 10 kwenda juu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Amina mkuu.... Amina.....
Mimi huu ni mwana na miezi nane nashukuru MUNGU, ukiacha hivi vitiketi na vibao vya matrafiki, sijapata ajali hata ya kuingiza gari kwenye shimo, nadhani malaika wa ulinzi niliopewa watakuwa wananijua vema sana tokea utotoni so wananipa ulinzi kiwango cha platinum.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji86]apeche alooKitu nilichojifunza kwenye huu uzi wana JF wameongea uhalisia wa maisha yao, kule kwwnye nyuzi nyingine ukizisoma unaweza ukafikiri kila mwana JF anamiliki ndinga la kuanzia milionj 50.
Yes sijafika maeneo hayo toka 2013 nilipoenda udsm kumtembelea mtu.sio mwenyeji kabisa wa maeneo hayoNjia kubwa sana hiyo.