Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Aiseee hebu nipe ramani

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ila Tanzania ukisikia Kuna makabila 120 c mchezo,ukianza kuyatacha ayafiki 50 unayoyafahamu.Kila wilaya Tanzania Kuna kabila kubwa mwenyeji.
 
Sasa hao wamasai kwa nini wasifike saa kumi kabisa? Kuwahi kazini ni moja ya indication kwamba mtu yuko serious... Ila nimecheka wamasai kupiga matuta [emoji23][emoji23]
Sijui kwa sehemu zingine lakini kule kwangu maboma yao mengi unakuwa wanawake na watoto labda na vijana wadogo tu wanaume wakubwa sijui hata wameendaga wapi (may be wameondokaga na mifugo/kuhama hama) Sasa wale wamama walobaki namna pekee ya kupata pesa ni kupiga kazi mashambani.
 
Ushawahi kutana na warangi wewe?...jamaa wana roho za hovyo sana
 
Ulikuwa msosa,kware,mtandika,malolo au kinusi
 
Unajua magufuli alifanya watu wadhani wasukuma wako vile,ila yule jamaa
 
Chifu Mangungo of Msovero. Msowero huko!
Hapo huwa naamini ndiyo kwenye chimbuko la utapeli. Hapo utakuta babu bibi watoto wajukuu wote matapeli wa ardhi! Kijiji kizima wanashirikiana kukuua, wanaweza kumkodisha mtu shamba la mpunga hata mahindi kiangazi kukavu, msimu wa mvua bwawa la kambale, hapalimiki!

Wageni wakifika huko mawili wapigwe au wakiwa wajanja wanachomoka.
Huko ni kawaida Sana wazee kukusakizia binti yao, mradi uwe kibarua Mgunda!

Kwa uchawiii wamesimama! Unalima wewe, bukula wanavuna wao!

Hizo wilaya za zamani lakini kamwe haziwezi kuendelea
 
Hao wasagara tunawasoma ktk vitabu tu. Ila mkoa wa morogoro hauna sifa ya watu wenye roho mbaya labda midomo tu waluguru na wapogoro wengine wapole sana tu
 
Kweli unawajua,kilosa kweli ya ling time ila mambo yao
 
Hao wasagara tunawasoma ktk vitabu tu. Ila mkoa wa morogoro hauna sifa ya watu wenye roho mbaya labda midomo tu waluguru na wapogoro wengine wapole sana tu
Unadhani wasagara nistory tu za kwenye vitabu vya history,wapo wanaexist wapole ndio hawana midomo ila mambo yao hatari
 
Mm sio msagara ila mtoa post asichafue watu bila sababu asee hao wasagara huji skia wana ishu za hovyo basi tu mtoq mada kaamua kuwachafua bure ila niwatu poa sana ndiomqnq husikii chochote chaajabu kuhusu wao kuhusu kulima na kusaidiqna ni uongo mtupu huyo kakutana na nduguzake wana roho mbayq sasa anataka kufanya wote wenye kabila hilo ni wabaya
 
1. Wasagara
2. Wakara
3. Wasumbwa
4. Wamanyema
5. Wahaya
Hawa watu dah
 
Hawa si ndio wanaitwa WAVIDUNDA?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…