Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa yako matajiri wamwanzo katika nchi hii walikuwa watu wa Pwani, na Jamii ya mwanzo kustaarabika Tanzania ilikuwa ni Pwani, kosa la watu wa Pwani ni kukaribisha jamii za washenzi wenye roho mbaya, chuki, ubinafsi na unafiki kwenye maeneo yao...

Watu wa Pwani ni jamii inayoamini kwenye usawa, upendo na haki.... Jamii ya watu wanaoridhika na kidogo na hofu kubwa kwa Mungu... Uungwana wao uliwaponza kwa kukaribisha washenzi wanaomini kwenye utajiri na ubinafsi, wasio na hofu ya Mungu, wezi, wanafiki na wabinafsi kifupi Akili yao inawaza dunia zaidi..

Ukisoma historia utaona inatajwa miji iliyoendelea zama hizo na wafanyabiashara zama hizo kutoka ukanda wa Pwani kuanzia Kilwa, Tanga, Bagamoyo na Dar es salaam, unazungumzia karne nyingi mbele kabla hata ya ukoloni...
Dunia haiko fair..kubali tu walikua hawana akili ndio mana wamepoteza vyote walivyokua navyo.

Licha ya hivyo kuna jamii za pwani mpaka leo zina maisha duni na katika miji yao haijachangamana sana na makabila..kwa mfano lindi na wilaya zake..unalizungumziaje hili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa na wewe unatofauti gani na mimi..mana hata unayoyasimamia ni hayohayo ambayo huwezi kuhoji..laa ufungiwe mabomu ukajiripue.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi nahoji wewe huwezi kuhoji hata kidogo ukianza kuhoji utaambiwa unakufuru kesho nenda kahoji kanisani au msikitini kwenu kuwa mungu wako ndio ana makosa alikubali kuumba maovu na mabaya hivyo akisema hawapeleke watu motoni huyo mungu wenu atakuwa hana uadilifu anaumba maovu halafu anataka watu wawe wema kweli huyu mungu anaakili?
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
JK ni wa wapi?
 
Hawa ndugu zetu wanaparikana wilaya za kilosa,morogoro na kilolo ,iringa.
Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma,Chief Mangungo.
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata kama mnakunywa wote bia moaka waakikishe umemgonga.
Ukikodi shamba watakukodisha shamba lisilo na rutuba ili mradi tu usivune.
Ukinunua miche au mbegu kwao watakuuzia ile hafifu ili i usivune.
Kulisha sumu mifugo ya wenzao ni kawaida sana.
Ruaha mbuyuni ni kata ila imekuwa na kituo cha polisi tangu enzi za mkoloni chenye hadhi ya wilaya kutokana na matukio ya wasagara
Kuuna na kutupana vichakani au kurogana ni kawaida sana hawa jamaa.
Kwanza huwezi kujua kama wanaexist kwenye miji mingine
Nilishangaa Mwanza na Tanga kuna sehemu zinaitwa Usagara
Badilikeni washkaji
Kumbe pale Ruaha Mbuyuni ni Kwa wasagara sikulifahamu Hilo na pale Mikumi wenyeji kabila Gani?
 
Wasagara sio wengi kwenye ofisi za umma hivyo impact Yao huwezi kuiona kirahisi Kama wapare ambao Kila sekta ya serikali wapo. Kwanza wakikaa ofisini utakuta wamenuna tu wanasubiri mtu wa ku victimize.
Imekuwaje wakawa wengi kila sekta ya serikali??
 
Shambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.

Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. [emoji1]
Sasa hao wamasai kwa nini wasifike saa kumi kabisa? Kuwahi kazini ni moja ya indication kwamba mtu yuko serious... Ila nimecheka wamasai kupiga matuta [emoji23][emoji23]
 
Sasa hao wamasai kwa nini wasifike saa kumi kabisa? Kuwahi kazini ni moja ya indication kwamba mtu yuko serious... Ila nimecheka wamasai kupiga matuta [emoji23][emoji23]
Wamasai wa kule feki wanakula ugali na mlenda,pia ukijipanga we mswahili unaweza kumuoa kabisa
 
hiyo ya demu sio wasagara tu iko Tanzania nzima, demu ukigonga baadae ndio utasikia skendo zake. Ukishapiga tu kesho utaskia mtaani yule demu aliwahi kubakwa na darasa zima

Hahahaa tatizo lenu mnafakamia sana hlf hamjichanganyi na masela

Wewe umehamia tu mtaani kusalimia husalimii bado unajikuta km vile wewe ndo kidume sanaaaa

Kaa na watu vzr watakwambia tu ht kwenye story utashangaa wanaingizia story za demu wako,wanaponda mbele yako moja kwa moja unajua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom