samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Una uhakika?
nina uhakika 100% juu ya kabila lake na uungwana wake...otherwise ulete prove ya kunipinga..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika?
Kwanza kabisa Kama wewe sio mjaluo huwezi kuoa mjaluo na ndoa ikadumu.Wapare wanaroho mbaya lakini hawajawafikia wajuo mjaluo nyoko
Wana ukabila wa kupitiliza Kama mpare ndio mkubwa sehemu ataingiza wenzake hata wasio na sita.Imekuwaje wakawa wengi kila sekta ya serikali??
Carl Peters alipokuja huku alipita Zanzibar huko kwa ujanja ujanja wake akaomba watu wa kumsindikiza toka kwa Sultan na ndiyo akapewa huyo Ramzan na wenzake 25 japo nadhani jina lake lilikuwa Ramadhan sema kwenye ule mkataba maarufu na Mangungo na Carl Peters alitambulishwa kama Ramzan. Mkataba wenyewe huu hapa chini kadri ulivyosomeka.Hebu tupe Hiyo ya mkalimani Ramzan alikua wa wapi?
Je ana undugu na yule mkalimani wa Taifa kwenye msiba wa Mwendazake?
😁😁😁😁😁🔥
Babu seyanina uhakika 100% juu ya kabila lake na uungwana wake...otherwise ulete prove ya kunipinga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari Nipo huku busisi kwenye ujenzi daraja
Uungwana wao na ustaarabu wao ndio umewafikisha hapo, issue wala sio uvivu.... wangekuwa na roho mbaya na ubinafsi leo hii usingewadharau hivyo unavyowadharau, wangemiliki kila unachokijua wewe Tanzania hapa maana ndio watu walioanza kustaarabika Tanzania.
Uungwana wao, waliwapa watu maeneo bure Dar es salaam hapo, waliwapa watu mashamba bure Dar es salaam hapo, walikaribisha watu na kuishi nao kwa upendo Dar es salaam hapo na kuwa kama Ndugu... Hata Mzee wetu Baba wa Taifa Nyerere alikaribishwa na kukilimiwa na wazee wa Pwani hapo..
Nitajie mkoa tofauti na ya Pwani Tanzania hapa mgeni anaweza kukaribisha akapewa eneo bure na kuishi vIzuri na wenyeji, Nitajie mkoa Tanzania hapa wageni wanaweza kufika na kuishi kama ndugu na wenyeji zaidi ya unafiki..
Mikoa ya pwani uchawi ni utamaduni ila wana hofu ya MunguNaweza kusema Tanga hapo japo kunauchawi ila ni wakarimu nakumbuka mwaka juzi tulipata shida njiani ilikua usiku ilibid tulale pale korogwe porin nyumba zakuhesab aise ingekua sehemu nyingine nahisi tungeshaibiwa but wale wanakijiji walikuja kutusaidia walitupikia chakula na tukakaa nao hadi asubuh ile siku sisahau kwakweli,Tanga[emoji3590]
Babu seya
Mkuu ulikaa na wasukuma wa wapi?Mm kwangu naona wasukuma ndio wana roho mbaya,ushawai kukaa na wasukuma kuleee mashambani yaani wale jamaa wabinafsi sanaa mm nimekaa nao na kujifunza mengi sana na kama huwelewi lugha yao wanakusema nawe upo hapo hapo, kiufupi makabila yote yana tabia fulani hivi ambazo zinakuweka mbali ww ambae sio kabila lao au sio wa eneo hilo.kiufupi hakuna kabila takatifu
Na mimi nimemshangaa huyo jamaa,wasukuma ni miongoni mwa makabila yenye watu wakarimu sanaMkuu ulikaa na wasukuma wa wapi?
Maana wasukuma wanapatikana katika mikoa ya Mwanza,Geita,Shinyanga,Simiyu,Tabora na kwa sasa wameukamata mkoa wa Katavi.
Na kila mkoa wana viutamaduni vyao vidogovidogo vinavyowatofautisha na mkoa mwingine mf namna ya kuongea pengine na aina ya maisha.
Wasukuma wa Mwanza ni tofauti kabisa na wale wa Tabora japo wote ni wasukuma.
Wale wa Simiyu pia wana maneno yao ambayo ni mara chache kuyasikia Tabora na Mwanza.
Sasa ukisemea roho mbaya kwa wasukuma sijui unakuwa unazungumzia msukuma wa wapi tu,maana sisi Mwanza unaweza kwenda kwenye mji wowote ukaomba kupikiwa chakula na ukala bila shida,mashamba haya zamani wasiokuwa nayo unapewa tu kulima kwa wale wasiokuwa na mashamba ya kutosha na hamna shida kabisa,ubaguzi wa makabila mengine hakuna kabisa cha msingi jitahidi tu ujue lugha yao japo kidogo itakusaidia sana kupata unachokitaka maana wana utaratibu wa kumpuuza asiyejua wana ile hali ya kuamini kila mtu anajua tu kisukuma.
Ndio wasagara waliosoma , Mdogo wake nae alipewa ubalozi na Jiwe!Simbachawene msagara ndio,baba yake anaogopeka kibakwe kwa ile sayansi
Mkuu ukweli ni lazima usemwe, "kuna makabila yamepitiliza roho mbaya", cha ajabu wao wanaona kawaida tu kubagua wenzao, wakati wao wanakula raha wakiwa ugenini(mikoa ya wenzao).Tunapenda kuwapa sifa mbaya jamii/kabila/mtu asiyekuhusu au kuwa na ukaribu nawe.Ni namna ya kujifariji au kujitengenezea hali ya kujiona sisi au mimi ni bora kuliko yule au wale.
Siamini katika "kudemonize" jamii nzima..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kanda ya ziwa ipi kana bukoba swa maana kuna jamaa alifungua duka na hajui kihaya hakuuza,anakuja mtu anakwambie iwe bojo ndetela akananka,sasa utamjibuje,duka likafaKaka njoo kanda ya ziwa, Kihere here chote kitakuisha, hao wasagara hawafui dafu.
Huku ukienda dukani kuna bei mbili, bei ya jogoli (mkajila/mgeni) na bei ya mwenyeji.
Umekaa Dabaga au upo ndiuka tu hapo unajipamba mkuu. SwelaaaaWahehe tu ndio waungwana hawana ubaguzi
Mie mwenyewe kwa kweli sielewi labda kama kuna mwenyeji humu atuambie.Hapo ndo pa kushangaza. Wenyeji hupata lakini wale wakuja wanaambulia patupu. Kunani hapo?
Si mabaya rafiki. Ila uwekezaji ulikuwa wahitaji mtaji sana na mimi nilikuwa mdogo sana sikuwa na resources za kutosha.Matokeo ya kilimo yalikuaje !?
Walikuwepo wazuri kinoma 😆 kienyeji kabisa. Mimi nilikuwa naenda wikiend na marafiki zangu wanaume, sometimes tulikuwa tunasafiri kama adventure tu, tukiwa kule mida ya jioni jioni hivi unashangaa wanaume wote wamepotea katika mazingira yakutatanisha wameenda kusaka mbususu za kienyeji 😄