Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Jamaa wamempiga kwenye Kilima vitunguu maji hapo Ruahambuyuni sasa amekuja na hasira kweli. Duniani humu nenda taratibu mkuu.
 
Dah pale panataka ukauzu kweli pale nikipita kwenye gari nikiwa safarini sitaki hata kufumbua macho.ekari nzima ya vitunguu kuambulia gunia mbili ahaaaa
Aiseeeeee, pole sana na nimecheka sana.
 
Kumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
Hahaaaaa nyanzwa hiyo au Mgowelo. Pole sana pale panahitaji niende taratibu.
 
USAGARA Ya Mwanza haina uhusiano na hao wasagara unaowazungumza. USAGARA Ni neno la kisukuma lenye maana 2 ya kwanza mbaya.. (ousagara) ya Pili kulala chali..(ousagala).. moja ya maana mojawapo ya hizo 2 ndiyo Tafsri ya Eneo la Usagara lililipo wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza.
Kumbe ni kule kwa Kolomije? Basi itakuwa ni Ile ousagala ya kwanza.
 
hiyo ya demu sio wasagara tu iko Tanzania nzima, demu ukigonga baadae ndio utasikia skendo zake. Ukishapiga tu kesho utaskia mtaani yule demu aliwahi kubakwa na darasa zima
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
Ilikuaje mkuu , malizia tupate Cha kujifunza
 
Shambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.

Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. [emoji1]
Aisee nipe connection na Binti masai

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mm kwangu naona wasukuma ndio wana roho mbaya,ushawai kukaa na wasukuma kuleee mashambani yaani wale jamaa wabinafsi sanaa mm nimekaa nao na kujifunza mengi sana na kama huwelewi lugha yao wanakusema nawe upo hapo hapo, kiufupi makabila yote yana tabia fulani hivi ambazo zinakuweka mbali ww ambae sio kabila lao au sio wa eneo hilo.kiufupi hakuna kabila takatifu
 
Same wakapate semina juu ya kuongoza kamati za roho mbaya toka kwa wasagara
Ebu funguka, wasagara eamekufanya nini? Naona una jambo baya limekutokea ila husemi.
Ila usihukumu kabila lote huenda ni roho mbaya ya huyo msagara mmoja tu Sasa wewe unasema kabila zima.
 
Ndio jibu..hopeless kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne.. na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.....
4:3 quran
 
Shambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.

Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. [emoji1]
Hao ni wachapa kazi, kama wanakuja saa 11 na wengine wanakuja saa 2 Bora wanaowahi wapate hiyo kazi
Wasagara kumbe wachapa kazi, Safi Sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom