Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Jamaa wamempiga kwenye Kilima vitunguu maji hapo Ruahambuyuni sasa amekuja na hasira kweli. Duniani humu nenda taratibu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeee, pole sana na nimecheka sana.Dah pale panataka ukauzu kweli pale nikipita kwenye gari nikiwa safarini sitaki hata kufumbua macho.ekari nzima ya vitunguu kuambulia gunia mbili ahaaaa
Unawajua wa Kara wa kule kijijini Ukerewe?
Hahaaaaa nyanzwa hiyo au Mgowelo. Pole sana pale panahitaji niende taratibu.Kumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
Kumbe ni kule kwa Kolomije? Basi itakuwa ni Ile ousagala ya kwanza.USAGARA Ya Mwanza haina uhusiano na hao wasagara unaowazungumza. USAGARA Ni neno la kisukuma lenye maana 2 ya kwanza mbaya.. (ousagara) ya Pili kulala chali..(ousagala).. moja ya maana mojawapo ya hizo 2 ndiyo Tafsri ya Eneo la Usagara lililipo wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza.
Hapo ndo pa kushangaza. Wenyeji hupata lakini wale wakuja wanaambulia patupu. Kunani hapo?Anhaaa mbona wenyeji wanapata ? Tena nawavuna vizuri tu wakati wao mara nyingi wanalima kienyeji sababu hawana mitaji.
[emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ya demu sio wasagara tu iko Tanzania nzima, demu ukigonga baadae ndio utasikia skendo zake. Ukishapiga tu kesho utaskia mtaani yule demu aliwahi kubakwa na darasa zima
Wanaroho mbaya hao , Yaani roho mbaya kwao ni jadiMimi nawajua wamanyema wa ujiji wanabagua hadi ndugu zao waha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamanyema waislam wanajiona waarabu,wamanyema wakristo wanajiona wakongomani
Afu sasa ukute analisema kabila lake.Leo ndiyo nimejua Kuna kabila la namna hiyo
Ilikuaje mkuu , malizia tupate Cha kujifunzaKumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
Matokeo ya kilimo yalikuaje !?Maeneo hayo hayo uliyoyataja, Ila nililima kwa miaka hiyo ya nyuma sana.
Aisee nipe connection na Binti masaiShambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.
Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. [emoji1]
Ebu funguka, wasagara eamekufanya nini? Naona una jambo baya limekutokea ila husemi.Same wakapate semina juu ya kuongoza kamati za roho mbaya toka kwa wasagara
na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne.. na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.....Ndio jibu..hopeless kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Hao ni wachapa kazi, kama wanakuja saa 11 na wengine wanakuja saa 2 Bora wanaowahi wapate hiyo kaziShambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.
Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. [emoji1]
Prof J vp? Nae msagara?Jaman wanajiroga mpaka wao