Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Huyo jamaa ni wewe maana unaongea kwa hisia sana acha ufuska dio kila unakoenda lazima uloweke, halafu ujizoeshe kuvaa ndomu.
Ahaa sio mimi, kuna mwamba fulani ila bahati nziri anadai hakupata maambukizi,ila woga kidogo umuue
 
Ruaha Mbuyuni si ndo pale penye mpaka wa Morogoro na Iringa? Ila leo ndo nimelisikia kabila hilo la wasagara
Hapohapo mkuu,unadhani pale wanakaa kabila gani?wasagara hao mkuu
 
Ukiwa masasi ukifukuzia Dem ambaye ni mzuri,na vijana wenyeji wamemshindwa,watakuonea wivu,na wataanzisha uzushi kuwa ana ngoma.
Dah ila sisi wabongo roho mbaya sana
 
ee usagara ni pale mzani kisha unaipita nyegezi stand(ipo kwenye ujenzi)kuna stand mpya ndio mabasi mengi yanashushia abiria hapo mbele ya nyegez stand
Sasa nimekupata. Sijaenda Mwanza mda, sikujua kama nyegezi hatumiki kwa Sasa. Basi siku unaenda huko nipigie hapa Arusha, nitakusindikiza🤣🤣
 
😂😂😂😂😂Tayari Nipo huku busisi kwenye ujenzi daraja
Sasa nimekupata. Sijaenda Mwanza mda, sikujua kama nyegezi hatumiki kwa Sasa. Basi siku unaenda huko nipigie hapa Arusha, nitakusindikiza🤣🤣
 
Hahahahah Hilo kabila ndio umenikumbusha Leo,kumbe Bado lipo?
Chifu Mangungo alikua na roho mbaya Sana aliwauza wananchi wake,endepo Hizo taarifa zitakua za kweli basi utakua ni mwendelezo wa mababu zao!
Mangungo aliingizwa cha kike na Carl Peters hakujua kilichoandikwa yeye aliketewa zawadi akaambiwa weka dole gumba hapa,kumbe ndio kawauza wasagara,
 
ee usagara ni pale mzani kisha unaipita nyegezi stand(ipo kwenye ujenzi)kuna stand mpya ndio mabasi mengi yanashushia abiria hapo mbele ya nyegez stand
Sasa nimekupata. Sijaenda Mwanza mda, sikujua kama nyegezi hatumiki kwa Sasa. Basi siku unaenda huko nipitie hapa Arusha, nitakusindikiza🤣🤣
 
Mkalimani wa Carl Peters Bw. Ramzan aliwaweza sana hawa mabwege
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…