Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa kama hukuwa umeaga kwenu ukijitahidi gunia tatu za vitunguu kwa hekari poleKumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
"Enyi watu kwa hakika tunekuumbeni kwa mwanaume mmoja na mwanamke mmoja.Na tumekufanyeni mataifa na makabila mbalimbali ili mpate kujuana.Hakika mbora wenu mbele ya Mwwnyezi Mungu ni mcha Mungu "quran 49:13
NakaziaLeo ndiyo nimejua Kuna kabila la namna hiyo
Wasagara sio wengi kwenye ofisi za umma hivyo impact Yao huwezi kuiona kirahisi Kama wapare ambao Kila sekta ya serikali wapo. Kwanza wakikaa ofisini utakuta wamenuna tu wanasubiri mtu wa ku victimize.Same wakapate semina juu ya kuongoza kamati za roho mbaya toka kwa wasagara
😃🙂🙃🙃😉😉🙂🙂😏😏😶😶😒😒😑😐🤨🤨Chumvi ChumviWasagara sio wengi kwenye ofisi za umma hivyo impact Yao huwezi kuiona kirahisi Kama wapare ambao Kila sekta ya serikali wapo. Kwanza wakikaa ofisini utakuta wamenuna tu wanasubiri mtu wa ku victimize.
Hao Ndiyo Wanatisha WenyeweWe ulidhani chief mangongo wa msovero kabila gani?yaani mikumi yote ile wamejaa wenyewe wakija mjini sijui wanajiitaje
Watakuepo mkuu ..labda hatuwajuiYahaya Msigwa rais wa shirikisho la wafanyakazi aliyepita,mikumi yote,kilosa .hawawezi kuwa maarufu sababu ya kurogana
Ahaaa unalimia wapi bossShambani kwangu vibarua ni wasagara na wamasai (wakike). Ukiwambia kesho kuna kazi wasagara wanawahi saa 11 asubuhi wanagawana matuta yote, wamasai hadi wamalize kukamua wakija wanakuta matuta yote yako booked, Ugomvi wake hapo hadi mwenye shamba uje kuingilia.
Yaani mtu anakamata matuta yote wenzake wanabaki wamekaa chini hawana kazi, halafu matuta yenyewe atayamaliza jioni anaishia kukucheleweshea kazi. Anyways sijasema wanaroho mbaya. 😄
Maeneo hayo hayo uliyoyataja, Ila nililima kwa miaka hiyo ya nyuma sana.Ahaaa unalimia wapi boss
Hii ya wake wa4 mmeitoa wapi au ni tamaa zenu za uzinzi tu."Enyi watu kwa hakika tunekuumbeni kwa mwanaume mmoja na mwanamke mmoja.Na tumekufanyeni mataifa na makabila mbalimbali ili mpate kujuana.Hakika mbora wenu mbele ya Mwwnyezi Mungu ni mcha Mungu "quran 49:13