Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

Status
Not open for further replies.
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
 
Kwa ujumla mkoa wa morogoro una makabila ya watu wenye roho mbaya sana:
Kuna wakaguru nao ni manyoka
Kuna wandamba nao manyoka
Kuna wa nguu nao manyoka
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
Kabisa mkuu,matajiri wa roho
 
na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne.. na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki.....
4:3 quran
Bado tamaa ya ngono na zinaa..inaoneshwa wazi wazi..ila msingi wa hoja ni mke mmoja..sema nyegezi sasa zilivyo wajaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
Kwasababu mazuzu..hawajui kazi na hawawezi kusaka pesa..wanasubiri watu wengine waje wawape kazi ili waishi..nenda k.koo na posta wamejazana kwa wahindi na waarabu wamefanya kazi tangu wakiwa watoto hadi uzeeni wanafia huko.

Kiufupi hawana akili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bado tamaa ya ngono na zinaa..inaoneshwa wazi wazi..ila msingi wa hoja ni mke mmoja..sema nyegezi sasa zilivyo wajaa.

#MaendeleoHayanaChama

ulianza kujua lini kama msingi wa ndo ni mke mmoja?.

Kabla Wakoloni hawajaleta dini walikuta babu zetu wanaoa mke zaidi ya mmoja, waliishi pamoja na kufurahia maisha.

Ni lini duniani Wanaume duniani walishakuwa wengi kuliko wanawake?...
Mara zote wanawake ni wengi in population kuliko wanaume, hawa wanaozidi wataolewa na nani wanaume wakioa mwanamke mmoja?

Biblia ukiisoma juu ya wale watu wa zamani na mitume, wote inaonyesha walikuwa na wake zaidi ya mmoja...kuanzia Ibrahimu, Suleiman nk.
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
Jami za pwani na makabila ya pwani wengi ni waislamu, ndo sehemu peke Tz mgeni ana jisikia kama mwenyeji, ubaguzi mdogo sana, ila ukija kwenye haya makabila ya bara yote wana raho mbaya wame jimilikisha vijiji na ardhi mgeni yoyote ni adui kwao, hasa hivyo vikabila vidogo vidogo utaonyeshwa kila aina ya uchawi,.....waalimu wamekibia kazi kwa sababu ya kujikuta uchi wamnyama nje ya nyumba zao
 
Makabira yote ya Tanzania watu wake wana roho mbaya na ubinafsi.... ukiacha watu wa Pwani hasa Wazaramo, Wakwere, Wadoe, Wandengereko, Wadigo na Wamakonde...

Ni watu wa Pwani tu pekee katika nchi hii ndio hawana roho mbaya na ubinafsi...
Jami za pwani na makabila ya pwani wengi ni waislamu, ndo sehemu peke Tz mgeni anajisikia kama mwenyeji, ubaguzi mdogo sana, ila ukija kwenye haya makabila ya bara yote wanaraho mbaya wame jimilikisha vijiji na ardhi mgeni yoyote ni adui kwao, hasa hivyo vikabila vidogo vidogo utaonyeshwa kila aina ya uchawi,.....waalimu wamekibia kazi kwa sababu ya kujikuta uchi wamnyama nje ya nyumba yake
 
Uungwana wao na ustaarabu wao ndio umewafikisha hapo, issue wala sio uvivu.... wangekuwa na roho mbaya na ubinafsi leo hii usingewadharau hivyo unavyowadharau, wangemiliki kila unachokijua wewe Tanzania hapa maana ndio watu walioanza kustaarabika Tanzania.

Uungwana wao, waliwapa watu maeneo bure Dar es salaam hapo, waliwapa watu mashamba bure Dar es salaam hapo, walikaribisha watu na kuishi nao kwa upendo Dar es salaam hapo na kuwa kama Ndugu... Hata Mzee wetu Baba wa Taifa Nyerere alikaribishwa na kukilimiwa na wazee wa Pwani hapo..

Nitajie mkoa tofauti na ya Pwani Tanzania hapa mgeni anaweza kukaribisha akapewa eneo bure na kuishi vIzuri na wenyeji, Nitajie mkoa Tanzania hapa wageni wanaweza kufika na kuishi kama ndugu na wenyeji zaidi ya unafiki..
 
Nilibahatika kutembea wilaya ya kilosa maeneo kama kitete, Mvumi, Rudewa, Msowero, Mkobwe , Msimba etc.
Unayoelezea nakuelewa kaka mdukuzi, hawa washikaji huenda wana laana , sijawahi kuwasikia wakijitambulisha kabila lao nje ya mkoa wao Morogoro
 
Nje ya mkoa wa morogoro hawataji kabila lao mkuu maajabu sana
 
Bado tamaa ya ngono na zinaa..inaoneshwa wazi wazi..ila msingi wa hoja ni mke mmoja..sema nyegezi sasa zilivyo wajaa.

#MaendeleoHayanaChama
hakuna mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja mkuu wangu, hayo mengine sitaki kuchangia..
 
Kwa taarifa yako matajiri wamwanzo katika nchi hii walikuwa watu wa Pwani, na Jamii ya mwanzo kustaarabika Tanzania ilikuwa ni Pwani, kosa la watu wa Pwani ni kukaribisha jamii za washenzi wenye roho mbaya, chuki, ubinafsi na unafiki kwenye maeneo yao...

Watu wa Pwani ni jamii inayoamini kwenye usawa, upendo na haki.... Jamii ya watu wanaoridhika na kidogo na hofu kubwa kwa Mungu... Uungwana wao uliwaponza kwa kukaribisha washenzi wanaomini kwenye utajiri na ubinafsi, wasio na hofu ya Mungu, wezi, wanafiki na wabinafsi kifupi Akili yao inawaza dunia zaidi..

Ukisoma historia utaona inatajwa miji iliyoendelea zama hizo na wafanyabiashara zama hizo kutoka ukanda wa Pwani kuanzia Kilwa, Tanga, Bagamoyo na Dar es salaam, unazungumzia karne nyingi mbele kabla hata ya ukoloni...
 
Ndio jibu..hopeless kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Hata ukipewa jibu huwezi kukubali kwa maana akili yako ishatekwa huwezi kujinasua kwenye huo mtego upo kwenye zone flani ambayo hiruhusiwi kuhoji chochote ukiambiwa kazaliwa bila ya baba wewe twende ukiambiwa kafa kafufuka wewe twende ukiambiwa alimezwa na samaki na akawa hai wee twende yaan wewe hauna tofauti na kibibi kizee ambaye kadri siku zinavyokwenda anapoteza kumbukumbu ila hataki kuambiwa ukweli
 
Uko sahihi
 
Wasagara sio wengi kwenye ofisi za umma hivyo impact Yao huwezi kuiona kirahisi Kama wapare ambao Kila sekta ya serikali wapo. Kwanza wakikaa ofisini utakuta wamenuna tu wanasubiri mtu wa ku victimize.
Wapare wanaroho mbaya lakini hawajawafikia wajuo mjaluo nyoko
 
Sasa na wewe unatofauti gani na mimi..mana hata unayoyasimamia ni hayohayo ambayo huwezi kuhoji..laa ufungiwe mabomu ukajiripue.

#MaendeleoHayanaChama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…