Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turudi basi siku moja kule..Umenikumbusha mbali sana leo,
Hapo kwa wamasai?Sio msovero ni msowero ni kijiji kipo hapo katikati ukitoka dumira unaelekea kilosa.
Same Kuna nini mkuu?Hivi wewe ndugu mtoa mada, ilishawahi kufika SAME?
Same iko Kilimanjaro ni wilaya ya kwanza ukitokea Tanga.
Mikumi sio wakaguru kweliWe ulidhani chief mangongo wa msovero kabila gani?yaani mikumi yote ile wamejaa wenyewe wakija mjini sijui wanajiitaje
Mbona mnajifanya mnajua kila kitu ilihali mnapotosha tu?Kanda ya ziwa ipi kana bukoba swa maana kuna jamaa alifungua duka na hajui kihaya hakuuza,anakuja mtu anakwambie iwe bojo ndetela akananka,sasa utamjibuje,duka likafa
Mbona povu,we kubali tu bukoba mnapenda sana lugha yenu,then english,kiswahili ni third language,sasa utawasilianaje na mtu wa hivyoMbona mnajifanya mnajua kila kitu ilihali mnapotosha tu?
Mbona hata Tanga pia wana huo upumbavu wa kutomuungisha mzawa biashara zake, je Tanga si pwani?
Nimeshaishi mikoa zaidi ya 9, mikoa mitano Kanda ya ziwa na minne Kanda ya pwani lakini sijawahiona mahala ambapo pana ushirikiano mwingi kijamii kama mikoa ya Kanda ya ziwa, ingawa hata hivyo sijawahi kusema vibaya Kanda yoyote hapa TZ.
Acheni ujuaji mwingi maana mnachoeleza mitandaoni ni tofauti na uhalisia wa mahusiano ya kimaisha katika hizo kanda.
Tudumishe umoja ambao Baba wa Taifa aliuanzisha ambao umezaa matunda ya sisi wa-TZ kuweza kuishi mahali popote TZ.
Nimeongea ambacho nimekiishi ktk hizo kanda zote, hayo mengine hayanihusu.Mbona povu,we kubali tu bukoba mnapenda sana lugha yenu,then english,kiswahili ni third language,sasa utawasilianaje na mtu wa hivyo
Amina mtumishiNimeongea ambacho nimekiishi ktk hizo kanda zote, hayo mengine hayanihusu.
Tutambue ni hao hao mnaowateta vibaya pia tunaishi nao, tumejenga nao familia, tunakutana ktk biashara, makanisani, misikitini, masokoni, vyuoni, makazini, michezoni na hata ktk kushirikiana mambo mbali mbali kijamii.
Tudumishe, upendo, umoja na mshikamano ambao huzalisha amani tele kimaisha.
Ina maana hata kabila la Wangindo hulijui!Leo ndiyo nimejua Kuna kabila la namna hiyo
Hao ke wa huko ni afadhali ya wamachame mkuu. Oa zaa usichume uishi kimaskini tu ukijaribu aone mafanikio atakutafutia sababu muachane utaporwa watoto na Mali hutakaa uitumie hapo ndo umehurumiwa vinginevyo Mr soil anakuhusuHawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa.
Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo.
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata kama mnakunywa wote bia moaka waakikishe umemgonga.
Ukikodi shamba watakukodisha shamba lisilo na rutuba ili mradi tu usivune.
Ukinunua miche au mbegu kwao watakuuzia ile hafifu ili usivune.
Kulisha sumu mifugo ya wenzao ni kawaida sana.
Ruaha mbuyuni ni kata ila imekuwa na kituo cha polisi tangu enzi za mkoloni chenye hadhi ya wilaya kutokana na matukio ya wasagara.
Kuuna na kutupana vichakani au kurogana ni kawaida sana hawa jamaa.
Kwanza huwezi kujua kama wanaexist kwenye miji mingine
Nilishangaa Mwanza na Tanga kuna sehemu zinaitwa Usagara
Badilikeni washkaji
Aliletewa zawadi ya halua.Mangungo aliingizwa cha kike na Carl Peters hakujua kilichoandikwa yeye aliketewa zawadi akaambiwa weka dole gumba hapa,kumbe ndio kawauza wasagara,
Una bahati huko ulikoingia, ungekutana na Kenge kule.Kumbe hawa jamaa ndio Wasagara ?Nilikodisha shamba nikalima vitunguu kilichonipata najua mwenyewe.Unashuka hapo Ruaha Mbuyuni unaingia ndani ndani huko.
HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.Hawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa.
Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo.
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata kama mnakunywa wote bia moaka waakikishe umemgonga.
Ukikodi shamba watakukodisha shamba lisilo na rutuba ili mradi tu usivune.
Ukinunua miche au mbegu kwao watakuuzia ile hafifu ili usivune.
Kulisha sumu mifugo ya wenzao ni kawaida sana.
Ruaha mbuyuni ni kata ila imekuwa na kituo cha polisi tangu enzi za mkoloni chenye hadhi ya wilaya kutokana na matukio ya wasagara.
Kuuna na kutupana vichakani au kurogana ni kawaida sana hawa jamaa.
Kwanza huwezi kujua kama wanaexist kwenye miji mingine
Nilishangaa Mwanza na Tanga kuna sehemu zinaitwa Usagara
Badilikeni washkaji
HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.Mkalimani wa Carl Peters Bw. Ramzan aliwaweza sana hawa mabwege