Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

Hii niliikuta Mwanza asee
 
Vipi mkeo asindikizwe na jirani Yako wa kiume sokoni utajisikiaje?
 
7 wachache mpaka 12 wana kaa watatu wanakaa nyuma ya siti ya nyuma pale kwa juu halafu wawili wananing'inia nyuma ya bajaji wanne siti ya nyuma wawili mbele dereva watatu
 
Hujakaa dar,siku ukikaa utawaomba radhi bure ,mimi niliwahi kuwafananisha na wanyama,ila hivi sasawanisamehe bure
 
haha najua mkuu, hata sijawahi kufika napasikia tu, lupembe na makete nimefika
 
Dereva kakaa upande kama anacheza penalty kwenye PS😂😂
 
Ulichukua maelekezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…