MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #61
achana na mambo ya mtandaoni mkuu, kuna wanawake wanajiweza sana kiuchumi huku mtaani.Sasa mlipa Kodi wa Hilo getto la demu wake angetokea ingekuajeππππππ
Mkuu Isyesye ni kubwa alaf kuna mtaa wake flan ndan unaitwa itez kama huna gari utapsha njia mpk ukome utapakumbk mwakibeteIsyesye kupo cool sana hamna ugai gai
Mbeya hiyo ni kawaida mkuu, ukisafiri mwizi anakuja kuishi kwako anapika vyakula vyote vilokuwemo ndani kama ni madem anavusha akitosheka ndo anasafisha kila kitumaselawako nao hawakujua kweli wezi
Sio kila mwanamke analipiwa kodi huoni kila siku tunapishana humo barabarani tunaenda kufanya kazi?Sasa mlipa Kodi wa Hilo getto la demu wake angetokea ingekuajeππππππ
Ni kweli lazima kimoja kizidiweHata ungekua wewe unaweza miliki vichwa viwili na vyote vikawa na akili??π
Si ndioooNi kweli lazima kimoja kizidiwe
Kwa inavyoonekana cha chini kikiwa active cha juu kinakua mzigo
NomaSi ndiooo
Hapo haujaishi juhudi, isanga, na Mapelele ni mbayaNimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya.
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa simu 3, Laptop na Wallet ilokua na akiba yangu yote pamoja na vitambulisho aisee sijawahi kuvurugwa kichwa kama iyo siku kwenye maisha yangu tangu nizaliwe. Nilikua naishi karibu na ofisi ya RPC ikabidi niende kuripoti apo nikaambiwa inabidi niende Central Police kule Letco na apo sina ata mia mbovu nikatembea mpaka kituoni nikaripoti lkn sikuambulia msaada wowote zaidi ya kunitia hasara ya kuandika Lost Reports. tangu iyo siku niliacha kuripoti kitu polisi.
Mara ya pili 2020 narudi kutoka likizo nakuta Geto jeupeeeeee hahaah, Hii awamu ndo walinikomesha kabisa. walihamisha kila kitu pamoja na vyeti vyangu vyote vya elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form 6. kuulizia majirani wananambia kuna mkaka walikua wanamuona anaishi apo wakajua labda tunajuana aliwaambia kuwa tunahamia sehemu nyingine aisee niliishiwa Nguvu ikabidi nikaishi kwa Dem wangu kwa muda.
hayo matukio Mbeya ni kawaida sana hasa mitaa ya Forest. Mbeya ni mkoa ambao huwa siwezi kuusahau kwenye Maisha yangu. Salute π«‘
Weee hii kali,na anajuaje kama umesafiri muda mrefuMbeya hiyo ni kawaida mkuu, ukisafiri mwizi anakuja kuishi kwako anapika vyakula vyote vilokuwemo ndani kama ni madem anavusha akitosheka ndo anasafisha kila kitu
Daaaah boss kuna wat wachumba wao wanasoma huko ulikotaja na wameahidiana kuoana.hao apana mkuu, target yangu mimi ni wanachuo wa Cucom, Mzumbe na TIA
Hayo makitu hamna kitu ni uongo. Jinsi watu walivyo na hasira na wezi yangekuwa yanafanya kazi basi hakuna mwizi angeachwa aendelee kuiba maisha yake yote.Ninavyohustle hivi nasemaga nikiibiwa kiasi hiko yaani lazima nidili na mwizi traditionally.
Mbeya vijana wanaendekeza sana uwizi unawakumbuka wale majamaa wa juhudi mwafrika na atupele walimuua wakala Iyunga na kumuibia laki tatu then Polisi wakawa piga shaba na kuwaua, sijui shida Kubwa ni niniHayo makitu hamna kitu ni uongo. Jinsi watu walivyo na hasira na wezi yangekuwa yanafanya kazi basi hakuna mwizi angeachwa aendelee kuiba maisha yake yote.
D kuna jamaa alikuwa anakutrendisha huko PM kama wiki mbili nyuma ulimkosea nini? though sikuamini kama ni wewe, stay safe.Inaonekana Mbeya kuna wezi sana.. asubuhi nimeona clip mdada analia ameibiwa kila kitu sebleni. Chumbani godoro limebinuliwa mwizi sijui alikuwa anaangalia kama kuna kibubu πΉπΉ
Acha basiKITUO KIKUU CHA WEZI NI TABORA.
ilo ni swali ambalo wote tunajiuliza bila majibuWeee hii kali,na anajuaje kama umesafiri muda mrefu
mchumba mwanachuo??? ni sawa na kucheza kamari mkuuDaaaah boss kuna wat wachumba wao wanasoma huko ulikotaja na wameahidiana kuoana.
Unawatia presha mkuu
Inasikitisha sana mkuu.mchumba mwanachuo??? ni sawa na kucheza kamari mkuu
Mbona ni rahisi kwa sasa na gharama ninafuu huku halmashauri ya mkoa au omba msaada humukipindi iko ndo kwanza nilkua najitafuta, safe ningetoa wapi mimi. huwezi amini sina cheti chochote cha elimu zaidi ya chuo tu. nilijaribu kwenda kufuatilia pale Makumbusho nikapewa utaratibu mrefu nikaamua kuachana navyo
sasa apo cha kushangaa nn mkuu π kawaida sana tena iyo chamtotoInasikitisha sana mkuu.
Ila wanasema mapenz hisia, nahis akil huw zinafanyiwa sub na hisia.
Wakati lami ya mafyati kupitia arport ya zaman mpk hali ya hewa inajengwa kuna mchina msimamiz ametia sana wadada wa chuo cha TIA kwny gar yake mchana tu tena cjui km alikuw anavaa mpr yle muhun