fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Sio kweli kuna viongozi walikuwa wanakaza lakin age ilifika had 95 exp Mugabe na Fidel Castro.Hata ukiangalia kwa sasa wanaojifanya kumchukia Samia ndio kwanza wanamfungulia baraka.
Ukiona Mungu kampa mtu ukuu wewe kama kuna shida mkosoe na muombee,kumchukia unapoteza mda.
Pili ukishika dola kuna makosa ya kibinadamu but generally ukijitahidi kutenda haki kwa wengi Unapata thawabu ila ukiwa mkatili na kujifanya Mungu mtu inakukata mapema Sana..
Siku zote laize afare style ndio nzuri,wote waliojifanya kukaza hapa Duniani walikufa mapema Sana.
huyu mwamba alikuwa na kitanda cha umeme unabonyeza remote kinatoka sakafuni huku kinapiga mziki,akimaliza kulala anabonyeza tena kinazama alafu panakuwa dimbwi la maji hapo sakafuni,jk bado sana kwa jamaa aliyekuwa anakodi concorde impeleke ulaya au kuleta cake tu ZaireNa mimi naongeza tena kwa sauti kubwa HAKUNA, kala bata na anakula bata hata kumzidi Mobutu
Watu wanaowaza hivyo ndio walioshangilia sera za matajiri kuishi kama mashetani! πHuku ndio maskini wanavyojifariji πππ.
Kwa hiyo ukiwa maskini ndio una furaha au?
HAKUNA ALIYEKULA BATA KAMA NYERERE!Na Nyerere alikulaga Bata sana basi tu, anatudanganya mambo tunamuona ana akili kumbe pale ikulu ana TV anacheki mambo ya duniani halafu anajifanya anatusimulia yajayo π
Amekula Bata sana jamaa na walikuwa wanamuogopa kushinda Magufuli, kalikuwa kadikteta fulani sema kalistukia mapema kakaona heri astaafu kwa staha maana majaribio ya kumpindua yalizidi na wazungu walishamuweka kwenye Kona.HAKUNA ALIYEKULA BATA KAMA NYERERE!
... just imagine kutawala mijinga, almost 100%! π
wajanja hao walikaza kwa akili kwa wakati muafaka kulingana na nyakati hizoSio kweli kuna viongozi walikuwa wanakaza lakin age ilifika had 95 exp Mugabe na Fidel Castro.
... na mali pia kajilimbikizia, unajuaje kuwa hana account za siri uswisi na kwingine huko maulaya? ... au hata hazina ya siri Butiama?Amekula Bata sana jamaa na walikuwa wanamuogopa kushinda Magufuli, kalikuwa kadikteta fulani sema kalistukia mapema kakaona heri astaafu kwa staha maana majaribio ya kumpindua yalizidi na wazungu walishamuweka kwenye Kona.
Mtu katawala miaka 24 kudadadeki jamii ya wajinga. Kilichomsaidia hakujilimbikizia mali Ila Bata amekula.
Wale wanae walivyo walevi wangekuwa walishazichomoa , kwanza wangeuana wale wazanaki.πππ... na mali pia kajilimbikizia, unajuaje kuwa hana account za siri uswisi na kwingine huko maulaya? ... au hata hazina ya siri Butiama?
Pole Sana Tanzania yanguMbona unaongea as if kamaliza Kula hata,
Mwanadiplomasia ngwili kila siku yupo manje huko!
Mara anakunywa kahawa na wataleban..
Mara Uswizi!
Jamani JK Mungu azidi kumbariki, mtoto Waziri, mke mbunge!
Yaani halafu Hana shombo Ka za Mkolomije!
Siyo yeye Tu hata watanzania walikula bata!
Hakuna wakukuua, na kawaida mtu mwenye husda mungu humpa maisha marefu ili azidi kuumia sana dhidi ya anaemhasidiKuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima with power money and respect
Na bado anaonekana atakula hizi bata mpaka afikishe miaka 100
Ukijumlisha bata alizokula Jk hata ujumlishe marais wote tangu uhuru hawamfikii
Wanasema Jk bado unaongoza nchi gani sijui
Jk kana ni kweli mwambie mama atuachie yule DJ disco limepoa.
Mbona we ulivumilia kelele za muziki.
Inakuwaje wengine muziki uwe kelele.nadhani Mungu alikubariki sababu roho yako nyeupe huna nongwa na mtu.
God bless you Jk
Haters niueni