Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Mavi yake yakikusanywa yapo nchi zaid ya 100

Mwenzangu na mie yote yanakusanywa tangu uzaliwe yapo Iringa labda tofauti ni wilaya ulizonyea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huu Uzi nitacheka Sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Sio ya kimipango mkuu mtu kafa unajitetea wewe. Mama akinya unatajwa wewe. Haiwi sawa na mara nyingi
.Mungu hajawahi kuwa msambaa ipo siku atakuchotatama
Huu ni wivu,kutosheka ndio msamiati gani? Unatosheka ukiwa hai?

Mwenzio Dunia inamhitaji na yeye anaona bado ana nguvu kwa nini asiende?
Unapomwonea mtu wivu unapata nini mazee. Huu ni mjadala tu mimi siwezi kuwa jakaya halafu hapa kumbuka tunamzungumzia mtu ambae ameiongoza na kuitawala jamii hudhani nina haki ya kusema hivi sababu hata vinamvyombeba vinahusu umma. KILA mtu hawezi kufikiri utakavyo.
 
Bakhresa hatumii Mali za umma wala biashara zake hazihusianagi na mambo yenye maslahi na taifa.
Relax ndugu yangu,dont take things so serious,ukipata nafasi ya kula bata we kula tu,maiasha ndio hayahaya
 
Relax ndugu yangu,dont take things so serious,ukipata nafasi ya kula bata we kula tu,maiasha ndio hayahaya
Watakatifu wapo,sio kila mtu anapenda makuu hata hivyo hii ni mada tu inayosaidia huko unakokuita kurelax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…