Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

Maisha ya mijini hufanya watu kuchelewa kupata wenza maana unakuta life linaenda race, bills zinakuwa nyingi, muda wa kuwaza kuzaliana huwa mchache, wanawake wengi huwa hawana mapenzi ya dhati...haya yote hupelekea vijana kuchelewa kuwa na wenza na hata kuwa na watoto tofauti na maisha ya vijijini/mikoani
 
Mke na mtoto/ watoto = Majukumu yanayohitaji Pesa na Muda. Maisha ya kijana mtafutaji yanakuwa yapo race sana . Maisha ya bongo hasa mijini kijana wa miaka 30 bado anajitafuta kimaisha
 
Mke na mtoto/ watoto = Majukumu yanayohitaji Pesa na Muda. Maisha ya kijana mtafutaji yanakuwa yapo race sana . Maisha ya bongo hasa mijini kijana wa miaka 30 bado anajitafuta kimaisha
Mdau hata huko kijijini Kuna mwingine mambo hayajipa na yupo 30+ na Hana familia
 
Ushamba tu, yaani wanahisi wao hawatafika huko. Sisi mbona tumesoma na watu wazima na tulikuwa tunachangamana nao kama wenzetu
 
Majuzi amesherekea birthday yake 36 yrs
Huyo ni muongo na mdanganyifu. Ina maana mwaka 2006 alikuwa Miss Tz akiwa na 16 years? Angeruhusiwa na nani kushiriki hayo mashindano? Nakumbuka alikuwa na miaka 19 au 20 hivi.
 
Mimi mwenyewe nimesoma hayo nikasikitika sana kwa Mwanamke, Mama kusema hivyo!!!!!
 
Wanawake wa hivyo papuchi zao huwa zinanena kwa lugha.
 
You are not the destiny controller wa wanao.

Lea wanao kulingana na hali ya uchumi wako.

Shida nyie kizazi cha sasa mnatakq muishi na kulea watoto kwa standard mlizolelewa nyie bila kujua wazazi wenu walipambanaje.

Cha msingi usicomplicate maisha, ishi kulingana na standard uliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…