JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo.
Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.
Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli.
1. Vifurushi vya mawasiliano / Bundle
Hakuna kitu huyu waziri anafanya kuhusu ghalama za bundle, zinazidi kuwa kubwa na internet zinaliwa bila mtumiaji kujua. Malalamiko haya yashafikishwa kwake na watu wakaambulia matusi.
2. Anuani za makazi
Kati ya kituko hapa nchini ni hiki cha anuani ya makazi. Hapa waziri naamini hajui hata anachokifanya. Karuka na chopa lakini mwisho wa siku aibu tupu. Sijui kama anawaza haya mambo.
Kuna nguzo huko vijijini ukiona hadi unahisi watanzania tumelaaniwa. Haitakiwi kabisa zile nguzo kusimikwa popote pale dunini.
Ni aibu ya mwaka nguzo ya anuani ya makazi afu ni miti. Na vijijini huko wanaweka hadi kwenye majaruba. Na waziri yupo na analipwa pesa na marupurupu kibao.
Naomba Rais Samia awe serious na maisha ya watanzania. Toa huyu mtu muweke huko kwenye chama. Weka wataalm na wasomi kwenye hizi kazi.