Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri Mizigo ya Kinana na Waziri NAPE yumo.

Waziri huyu buana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.

Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakiwa makini atatoka kabisa kwenye reli.

1. Vifurushi vya mawasiliano / Bundle
Hakuna kitu huyu waziri anafanya kuhuyu, ghalama za bundle zinazidi kuwa kubwa na internet zinaliwa bila mtumiaji kujua. Malalamiko haya yashafikishwa kwake na watu wakaambulia matusi.

2. Anuani za makazi
Kati ya kituko hapa nchini ni hiki cha anuani ya makazi. Hapa waziri naamini hajui hata nachokofanya. Karuka na Chopa lakini mwisho wa siku aibu tupu. Sijui kama anawaza haya mambo.

Kuna nguzo huko vijijini ukiona hadi unahisi watanzania tumelaaniwa. Haitakiwi kabisa zile nguzo kusimikwa popote pale dunini.

Ni aibu ya Mwaka. Nguzo na anuani ya makazi afu ni miti. Na vijijini huko wanaweka hadi Kwenye majaruba. Na waziri yupo na analipwa pesa na marupurupu kibao.

Naomba Rais Samia awe serious na maisha ya Watanzania. Toa huyu mtu muweke huko kwenye chama. Weka wataalm na wasomi kwenye hizi kazi.
Nape Nnauye
Unaitwa huku!!!
 
Ingekua kipindi cha JPM, mitandao ingekua ishapigwa faini kuzuia huu upuuzi. Yaani wanapiga pesa nyingi sana kupitia huu ujinga wakati wanawalipa Watanzania mishahara midogo sana!
 
Hakuna aibu yoyote wala ajabu yoyote anuani ya makazi kubandikwa kwenye nguzo za miti, kwasababu huo ndio uhalisia wetu, vijijini kwetu nguzo ni za miti kuanzia za kujengea hadi za viti, meza na vitanda, sasa ajabu ni nini kwa anuani ya makazi kubandikwa kwenye nguzo ya mti?.

Amtoe kwa kosa gani?!
Acheni hizo!, angewasikiliza watu kama nyinyi, by now angeisha watoa wangapi?!.

Mimi ni miongoni mwa ambao tunamwelewa sana Nape.

P
Bro majibu yako yananiangusha.nilikua nakuombea kwenye lile jambo lako ila nimefuta hayo maombi.Joking.
 
🐒🐒🐒
QAMmrh.jpeg
AETTG.jpeg
 
Hili zoezi nililiona litafail tangia day one...Serikali wanadhani anuani za makazi ni kusimika sign posts tuu... huwezi kuwa na proper addresses kama ASILIMIA kubwa ya nchi haijapimwa na kupanga miji vizuri.

Ushauri wangu ni kwamba nguvu ingeelekezwa katika mipango miji na upimaji na matumizi Bora ya ardhi...bajeti iongezwe wizara ya Ardhi na nchi ikishapangwa vizuri,Serikali za mitaa na vijiji wapewe jukumu la kupatia mitaa yao majina kadri local government watakavyoona inafaa...you don't need a minister to install street names and addresses..hizo ni Kazi za wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa nyumba kumi....

Serikali kuu itie mkazo kwenye bigger picture...najua Nape ana mapungufu yake lakini kwenye hili hawezi leta tija yoyote ata kama angekuwa na uwezo unaoridhisha katika utendaji...

Washauri wa RAIS mshaurini abadirishe strategy katka jambo hili...hawezi badirisha slums na unplanned country kwa kupachika mabango tuu...yeye aipange nchi na hizo petty job za mabango awaachie postal service na wenyeviti wa mitaa wajipange
Hafu huu upuuzi wa kusimika vijiti , kwa nini serikali isiweke standard ya vi posts ,ambavyo Viko same nchi nzima hafu watu wavi sponse kama local authorities hazing uwezo. Waziri kakimbia utadhani Usain Bolt pamoja na kuanza na mbwembwe za helicopter ya jeshi letu
 
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri Mizigo ya Kinana na Waziri NAPE yumo.

Waziri huyu buana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.

Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakiwa makini atatoka kabisa kwenye reli.

1. Vifurushi vya mawasiliano / Bundle
Hakuna kitu huyu waziri anafanya kuhuyu, ghalama za bundle zinazidi kuwa kubwa na internet zinaliwa bila mtumiaji kujua. Malalamiko haya yashafikishwa kwake na watu wakaambulia matusi.

2. Anuani za makazi
Kati ya kituko hapa nchini ni hiki cha anuani ya makazi. Hapa waziri naamini hajui hata nachokofanya. Karuka na Chopa lakini mwisho wa siku aibu tupu. Sijui kama anawaza haya mambo.

Kuna nguzo huko vijijini ukiona hadi unahisi watanzania tumelaaniwa. Haitakiwi kabisa zile nguzo kusimikwa popote pale dunini.

Ni aibu ya Mwaka. Nguzo na anuani ya makazi afu ni miti. Na vijijini huko wanaweka hadi Kwenye majaruba. Na waziri yupo na analipwa pesa na marupurupu kibao.

Naomba Rais Samia awe serious na maisha ya Watanzania. Toa huyu mtu muweke huko kwenye chama. Weka wataalm na wasomi kwenye hizi kazi.
Ukitafuta mawaziri vilaza huyu nape ni wa kwanza pale hakuna kitu.
 
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo.

Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.

Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli.

1. Vifurushi vya mawasiliano / Bundle
Hakuna kitu huyu waziri anafanya kuhusu ghalama za bundle, zinazidi kuwa kubwa na internet zinaliwa bila mtumiaji kujua. Malalamiko haya yashafikishwa kwake na watu wakaambulia matusi.

2. Anuani za makazi
Kati ya kituko hapa nchini ni hiki cha anuani ya makazi. Hapa waziri naamini hajui hata anachokifanya. Karuka na chopa lakini mwisho wa siku aibu tupu. Sijui kama anawaza haya mambo.

Kuna nguzo huko vijijini ukiona hadi unahisi watanzania tumelaaniwa. Haitakiwi kabisa zile nguzo kusimikwa popote pale dunini.

Ni aibu ya mwaka nguzo ya anuani ya makazi afu ni miti. Na vijijini huko wanaweka hadi kwenye majaruba. Na waziri yupo na analipwa pesa na marupurupu kibao.

Naomba Rais Samia awe serious na maisha ya watanzania. Toa huyu mtu muweke huko kwenye chama. Weka wataalm na wasomi kwenye hizi kazi.

Mimi nikiwa kama rais nipeni muda
 
Hakuna aibu yoyote wala ajabu yoyote anuani ya makazi kubandikwa kwenye nguzo za miti, kwasababu huo ndio uhalisia wetu, vijijini kwetu nguzo ni za miti kuanzia za kujengea hadi za viti, meza na vitanda, sasa ajabu ni nini kwa anuani ya makazi kubandikwa kwenye nguzo ya mti?.

Amtoe kwa kosa gani?!
Acheni hizo!, angewasikiliza watu kama nyinyi, by now angeisha watoa wangapi?!.

Mimi ni miongoni mwa ambao tunamwelewa sana Nape.

P
Sorry bro akili yako haiko sawa wewe sasa nyumba hazjapimwa mitaa haieleweki vichorovichoro tu ukaweka kibango hata ukimuelekeza mtu hafiki unaipa nyumba eti mtaa wa pogoro nyumba namba 10 kweli?
 
Sorry bro akili yako haiko sawa wewe sasa nyumba hazjapimwa mitaa haieleweki vichorovichoro tu ukaweka kibango hata ukimuelekeza mtu hafiki unaipa nyumba eti mtaa wa pogoro nyumba namba 10 kweli?
Hizo hizo nyumba za udongo na kuezekwa kwa nyasi ambazo hazijapimwa, zimeekewa umeme wa Rea hivyo hivyo zilivyo, mitaa inatumia GPS, hivyo uki Google Google map utaiona area view kibao cha mtaa kiwe ni cha nguzo ya zege, ya chuma, ya mbao au ya mti, doesn't matter much, Google haiangalii ni nguzo ya nini, inaangalia just geographical location.

Hii unasemaje?
20220813_182811.jpg
 
Namba 37 hiyo picha ni nyumba iliyoanza kujengwa kama miako 10 hivi haijaezekwa ndani hadi miti imeota imepewa namba lkn kuna nyumba zenye hadi fensi hazijaandikwa namba
 
Namba 37 hiyo picha ni nyumba iliyoanza kujengwa kama miako 10 hivi haijaezekwa ndani hadi miti imeota imepewa namba lkn kuna nyumba zenye hadi fensi hazijaandikwa namba
Nyumba zote mtaa mzima zinahesabiwa na number mfuatano zinatolewa, ili kuwekuwa number ni lazima mmiliki ajulikane, hivyo hilo pagala mmiliki yupo na anajulikana, na hiyo yenye fence mmiliki hajulikani!, ila number yake ipo reserved, ajiandikishe jina la mmiliki hapo serikali ya mtaa apewe number yake.
P
 
Back
Top Bottom